Rungu
JF-Expert Member
- Feb 23, 2007
- 3,932
- 1,726
Kaitwa Philemon Mbowe lakini Freeman Mbowe kajishtukia na kuanza kuweweseka utafikiri ni yeye ndiye aliyeitwa.Kaa philemon mbowe na freeman mbowe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaitwa Philemon Mbowe lakini Freeman Mbowe kajishtukia na kuanza kuweweseka utafikiri ni yeye ndiye aliyeitwa.Kaa philemon mbowe na freeman mbowe
Leo Makonda alimtaja mtu mmoja na kusema amkute polisi leo hii.
Hope atakuwa ni PAPA sana. Jina ametaja "Chidd Mapenzi".
Huyu ni nani? Wanaomjua watusaidie file lake tafadhali.
Anaishi wapi? N.k.
[emoji28][emoji23][emoji2][emoji16][emoji1][emoji28]Kaa philemon mbowe na freeman mbowe
Wewe ndo umechapia ila yeye yuko sawa ni tafadhalitafadhali.au tafadhari.me sijui lakini
anauzia masista duu wa bongo.movie na wauza sura wa mjini hivo ana jina jina pia ni mme wa shamsa ford (bongo movie)
kila siku safari za china kumbe ana mizigo mingi ya kufata teh
Nguo gan unauza rejareja unaenda China kwa mwezi mara 4.-Mume wa muigizaji shamsa ford
-Mmiliki wa duka la nguo
-Anasafiri mara kwa mara kwenda China "kuchukua nguo za kuuza dukani kwake"
Kuna jamaa yangu alisema hivi pia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama vipi wagawe pasi tuMasupa staa + mademu wa bongo movie, tutaanza kuwagonga kwa pesa kidogo tu ya vocha. Hahahahaaa
Hili lipunda kabisa hili hata sura yenyewe ya kikauzu kama punda.Ni huyu hapa,mume wa shamsa ford
hivi chid mapenzi ndio jina lake halisi??
Huyu Jamaa si ndie anamiliki duka la nguo pale Mwananyamala karibia na Masai club?
Webzine zao wengi ni magumashi....Ndoa ya shamsa ishaanza kuingia mchanga hawa wanawake wa bongo movie sijui wana gundu gani
Mkuu yaani acha tu ndoa ya kiisalam inapigwa "my woman"Ningekuwa Makonda kwenye hyo video ningeondoka na vijana walau kumi. Halafu waislam siku hizi ndoa kama marekani? Hakyanani hata ustadh aliyefungisga aina hii ya ndoa nna shaka nae.
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Safari sio kifo
Sasa kwanini anataja nickname na si jina halisi?huyu kondakta bure kabisaNickname
We sema tu: ANAENDA CHINA KUBEBA MZIGO.-Mume wa muigizaji shamsa ford
-Mmiliki wa duka la nguo
-Anasafiri mara kwa mara kwenda China "kuchukua nguo za kuuza dukani kwake"
Sasa kwanini anataja nickname na si jina halisi?huyu kondakta bure kabisa