Makonda kamtaja Chid Mapenzi, huyu ni nani? Tupeni file!

Makonda kamtaja Chid Mapenzi, huyu ni nani? Tupeni file!


Ningekuwa Makonda kwenye hyo video ningeondoka na vijana walau kumi. Halafu waislam siku hizi ndoa kama marekani? Hakyanani hata ustadh aliyefungisga aina hii ya ndoa nna shaka nae.
Leo Makonda alimtaja mtu mmoja na kusema amkute polisi leo hii.

Hope atakuwa ni PAPA sana. Jina ametaja "Chidd Mapenzi".

Huyu ni nani? Wanaomjua watusaidie file lake tafadhali.

Anaishi wapi? N.k.
 
Chidi.jpg

Chiddi Mapenzi na mkewe Shamsa Ford
Chidi mapenga.jpg

In Dubai
Chid mapbzee.jpg
 
Masupa staa + mademu wa bongo movie, tutaanza kuwagonga kwa pesa kidogo tu ya vocha. Hahahahaaa
Kuna jamaa yangu alisema hivi pia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama vipi wagawe pasi tu
 
Back
Top Bottom