Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Boda atakaye thubutu kusema hili ananishusha hapo hapo kwanza halafu anakula mkong'oto
Hahahaha, kipindi hiki anahitaji kwa wingi mno kuthibitisha kweli CCM wako milioni + wanayosemaHivi ni kweli Samia ana shida ya KURA?
Huyo anaweza kuingia ikulu hata Kwa kura za familia yake na akatangazwa ameshinda Kwa kishindoHahahaha, kipindi hiki anahitaji kwa wingi mno kuthibitisha kweli CCM wako milioni + wanayosema
Kura zingekuwa zinafanya maamuzi wasingeturuhusu tupige.Hivi ni kweli Samia ana shida ya KURA?
Ndugu Paul vipi na ikawa kinyume chake,umesha tafakari hilo,kwani inaweza kuwa badala ya wazo lako ikawa ni kutoka!Mgombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM, Paul Makonda, akihutubia mkutano wa kampeni leo, Oktoba 12, 2025, katika Wilaya ya Bukombe, Mkoa wa Geita, amewaomba maafisa usafirishaji kumwombea kura Samia kwa kila abiria watakayembeba.
"Boda boda wote ambao mmeshuhudia mapenzi ya Dkt. Samia yakuwatambua kama 'Maafisa Usafirishaji' na kuwapunguzia adhabu (faini) kutoka Elfu 30 mpaka Elfu 10 mnapombeba abiria yoyote mwambie namwombea Kura Dkt. Samia"
Mgombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM, Paul Makonda, akihutubia mkutano wa kampeni leo, Oktoba 12, 2025, katika Wilaya ya Bukombe, Mkoa wa Geita, amewaomba maafisa usafirishaji kumwombea kura Samia kwa kila abiria watakayembeba.
"Boda boda wote ambao mmeshuhudia mapenzi ya Dkt. Samia yakuwatambua kama 'Maafisa Usafirishaji' na kuwapunguzia adhabu (faini) kutoka Elfu 30 mpaka Elfu 10 mnapombeba abiria yoyote mwambie namwombea Kura Dkt. Samia"