Makonda kuhamia chama chenye demokrasia na maendeleo

Makonda kuhamia chama chenye demokrasia na maendeleo

Oyaa jukwaa LA utan ongea kiutan basi jooh punguza jazba mkuu
 
Wanaccm wanaenda upinzani kujisafisha(kuchamba) wakisafishwa wanarudi walipotoka cc. Sepenga na masha [emoji52][emoji52]
 
Hivi wana ufipa huyu jamaa akitaka kuja mtakubali
 
Back
Top Bottom