Makonda kumbe alikuwa na haki kutowaomba msamaha Clouds Media Group

Makonda kumbe alikuwa na haki kutowaomba msamaha Clouds Media Group

fasiliteta

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
2,372
Reaction score
4,090
Hawa clouds ni wazi bwana makonda ana kila haki ya kutowaomba msamaha na kubaki na msimamo wao
Clouds ni chombo cha habar cha kuchunga sana,ni kama kakundi Fulani kakujenga fitna na kuongeza chumvi mambo mengi sanaaaa
Clouds wakitofautiana na mtu wapo tayari kutumia mamlaka yao ya kua na Media ktk kummaliza huyo MTU na kumchafua ndani ya jamiiii

Wapo vizur sana katika fitna na majungu,kiasi hata baadhi ya wananchi eti wanaogopa kua utapotea ukijaribu kwenda nao against

Clouds ni wanyonyaji,viburi,jeuri ma wafitinishaji wazur wa watu waliogombana nao na jamiii


Clouds wanawatumia vibaya nafasi hii ya media


Serikali iwaangalie sana HAWA Jamaa,wamekua mwiba sasa kwa watu wengi na wengi wakibaki wanyonge
KWA SASA NAONA UMMA UNEWACHOKA MPAKA WANAJISTUKIA
WAMEMGUSA MTOTO WA WATU DIAMOND KWA MIZENGWE NAONA HATA AIBU INAWAINGIA BAADA YA KUGUNDULIKA HARAKA NA WATU KUWAKATAAA


clouds wanadharau sana kuanzia kwa boss wao na hata hao kina kibonde,wanajikuta wajuaji MNO wa kila kitu,wanatukana,wanadharaulisha then wanajidai kumsifia JPM kinafki

CLOUDS NI WANYONYAJI NA WACHUMIA TUMBO HAWA,WALO RADHI WAKUPIGIE PROMO YA HALI YA JUU ILI WAPATE HELA YAO NA KISHA KUKUTUMA JALALANI KAMA TAKATAKA


hawa clouds mwisho wao umefika sasa,nafikir wanapotea wao hawaamini,maana kila mtu hawataki sasa kwa upuuzi wao





Ulimwengu wa dot com huu,wameshindwa kuzichanga karata zao vizuri na sasa WA naenda kupotezwa na watoto wadogo sana/UMMA ulio wakataaa


NIMEONA SASA TIMES FM,MAGIC FM,CHANNEL TEN NA HATA TBC WAMEANZA KUZIONA FURSA SASA .nafikir hata wao walikua hawapendezwi na mitabia ya HAWA clouds kujiona wao ni kama miungu watu mpaka kuwadhalilisha watoto wadogo kama ruby kuomba msamaha waziwazi ndani ya kipindi
 
Unazani kwanini hadi sasa hauna commentators kwenye uzi wako!?..Umejitangaza mchawi halafu unataka wachangiaji wajitangaze nao wachawi muwe wengi!!..
Donald Trump anapondwa na media kubwa kila siku ambazo zikibadili vita kuileta kwa bashite wako mwezi angekuwa ukerewe mwanza analima!
 
Stupid..unazungumza haya kama nani uliajiriwa clouds ukaachishwa kaz ndio ukajua ubaya wao....Acheni kulaumu kwa habari za kusikia kwenye media cha msingi kaa kimya
 
Stupid..unazungumza haya kama nani uliajiriwa clouds ukaachishwa kaz ndio ukajua ubaya wao....Acheni kulaumu kwa habari za kusikia kwenye media cha msingi kaa kimya
Itakua aliomba kazi akakosa.
 
Itakua aliomba kazi akakosa.
Niombe kazi kwa hao mission town
Wanakusifia ili wakunyonye
Watu washaqastukia na kigenge chao,kwa sasa wakivunje waanze upya watu washawastukia wapiga dili tu hawa
 
Wivu wako unakusumbua.... Wivu jamani
Pole sana Dada,niwaone wivu hao makanjanja ya town,kamweeee

Wabadili muelekeo tu kwa sasa hakuna ubali kunywonywa wala kutumia chombo chako kumminya
 
Clouds wana mapungufu yao lakini hai justify upuuzi wa makonda anaofanya kila kukicha
 
Serikali inapaswa kutreat Media zote kwa Usawa, hawa hii back up ya kupendwa na Mamlaka ndo inawapa kiburi!
 
Niombe kazi kwa hao mission town
Wanakusifia ili wakunyonye
Watu washaqastukia na kigenge chao,kwa sasa wakivunje waanze upya watu washawastukia wapiga dili tu hawa
We una matatizo. Ndo maana huongelei bifu ya EATV na Dai, in short una wivu na maendeleo ya clouds
 
Pole sana Dada,niwaone wivu hao makanjanja ya town,kamweeee

Wabadili muelekeo tu kwa sasa hakuna ubali kunywonywa wala kutumia chombo chako kumminya
Wivuu.... Usinambie kuna media moja mjini... Redio one Sterio ipo tangu miaka ya 93 maredio kibao yamejaa.

Ni ujinga kulalamikia unyonyaji wa media moja wakati zipo nyingine nyingi hapa mjini
 
Back
Top Bottom