Makonda kumbe alikuwa na haki kutowaomba msamaha Clouds Media Group

Huuu umungu MTU wa clouds hauwez kufanya na watu magenious kama diamond

Afu usifananishe mlima na kichuguu,TID ruby walikua alone
WCB NI TROOPS NA NGUVU YA UMMA

mistake kuhalalisha uonevu wa clouds wa muda na nguvu ya sasa

Uoga wenu upelekeni HUKO huko

KWANZA KAMUULIZENI HUYO KUSAGA NA CLOUDS, BATTLE HILI WANSLIONAJE UKIFANANISHA NA YALO PITA

kwa sasa wanatapatapa tu
 
Hawa clouds ni wazi bwana makonda ana kila haki ya kutowaomba msamaha na kubaki na msimamo wao
Clouds ni chombo cha habar cha kuchunga sana,ni kama kakundi Fulani kakujenga fitna na kuongeza chumvi mambo mengi sanaaaa
Clouds wakitofautiana na mtu wapo tayari kutumia mamlaka yao ya kua na Media ktk kummaliza huyo MTU na kumchafua ndani ya jamiiii

Wapo vizur sana katika fitna na majungu,kiasi hata baadhi ya wananchi eti wanaogopa kua utapotea ukijaribu kwenda nao against

Clouds ni wanyonyaji,viburi,jeuri ma wafitinishaji wazur wa watu waliogombana nao na jamiii

Clouds wanawatumia vibaya nafasi hii ya media

Serikali iwaangalie sana HAWA Jamaa,wamekua mwiba sasa kwa watu wengi na wengi wakibaki wanyonge
KWA SASA NAONA UMMA UNEWACHOKA MPAKA WANAJISTUKIA
WAMEMGUSA MTOTO WA WATU DIAMOND KWA MIZENGWE NAONA HATA AIBU INAWAINGIA BAADA YA KUGUNDULIKA HARAKA NA WATU KUWAKATAAA

clouds wanadharau sana kuanzia kwa boss wao na hata hao kina kibonde,wanajikuta wajuaji MNO wa kila kitu,wanatukana,wanadharaulisha then wanajidai kumsifia JPM kinafki

CLOUDS NI WANYONYAJI NA WACHUMIA TUMBO HAWA,WALO RADHI WAKUPIGIE PROMO YA HALI YA JUU ILI WAPATE HELA YAO NA KISHA KUKUTUMA JALALANI KAMA TAKATAKA

hawa clouds mwisho wao umefika sasa,nafikir wanapotea wao hawaamini,maana kila mtu hawataki sasa kwa upuuzi wao

Ulimwengu wa dot com huu,wameshindwa kuzichanga karata zao vizuri na sasa WA naenda kupotezwa na watoto wadogo sana/UMMA ulio wakataaa

NIMEONA SASA TIMES FM,MAGIC FM,CHANNEL TEN NA HATA TBC WAMEANZA KUZIONA FURSA SASA .nafikir hata wao walikua hawapendezwi na mitabia ya HAWA clouds kujiona wao ni kama miungu watu mpaka kuwadhalilisha watoto wadogo kama ruby kuomba msamaha waziwazi ndani ya kipindi
Umeandika vizuri lakini punguza hasira mkuu
 
Kutoka 1998, hadi Leo bado wanashikilia industry ya burudani, ukizingatia na fitna za kibiashara, si kazi rahisi, kutoka kupanga katika kachumba kamoja kitega uchumi, hadi kumiliki media house si kazi ya mchezo, sisemi kwamba hawawezi kukosea, ila kebehi zako zinapoteza points zako. Issue ya fitna ni sehemu ya maisha, wapi ambapo hakuna fitna? Kuhusu unyonyaji ni sehemu ya kiu ya kila mfanyabiashara, kwani wanaonyonywa wanashikiwa bunduki? Si wanasaini wenyewe mikataba!!? Kama kuna upungufu wa kisheria ya ha za wasanii wakulaumiwa ni serekali, sikuzote mfanyabiashara huangalia fursa.
 
Unazani kwanini hadi sasa hauna commentators kwenye uzi wako!?..Umejitangaza mchawi halafu unataka wachangiaji wajitangaze nao wachawi muwe wengi!!..
Donald Trump anapondwa na media kubwa kila siku ambazo zikibadili vita kuileta kwa bashite wako mwezi angekuwa ukerewe mwanza analima!
Si kweli, Wakati wa sakata la dawa za kulevya media zilijaribu kumzima Makonda lakini zilichemka, sio kila mtu ni wa kuzimwa, example mr president
 
Media ipi ilijaribu mzima?..nakumbuka ndio kipindi makonda na clouds marafiki haswaa, ITV na Azam walikuja wakarusha live event au unaongelea media ipi iliyojaribu mzima!?..
 
Funga mdomo wako unatuletea hadith za mapenzi, Ambazo hazina kichwa wala miguu...!! Mambo ya Bashite humu yanini?
 
Hakuna msukuma wa kuomba msamaha vitu vya kipuuz puuz kama hivyo

Mfano mzur ni dudu baya
 
Alichoandika ni sawa na kusema kwakuwa Clouds wananyonya wasanii basi wavamiwe kwa silaha.
sawa kabisa fasiliteta ameandika povuu lingiiii wakati ilitakiwa aandike hivi
 
Back
Top Bottom