Pre GE2025 Makonda: Kuna watu hawapendi navyowashughulikia (Watumishi wazembe), lakini Mimi nitafanya!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unapenda ushabiki maandazi sana, Sasa unadhani Makonda anaweza kumtunishia misuli SG wake Kwa madai yako kulingana na Uzi wako uliopita? Mwisho wa mtazuko huu Makonda atapoteza Kwa sababu zifuatazo:

Anayejaribu kushindana naye ni mastermind kwelikweli na ni Moja ya wapanga mikakati Wazuri sana hivyo Kila hatua anayopiga Makonda anatakiwa kutambua katanguliwa hatua Moja mbele.
 
Kwa hakika Mheshimiwa Makonda ni Sauti ya wanyonge na mtetezi wa wanyonge.Tanzania tunahitaji vijana wengi jasiri na wenye kujitoa kijasiri kutetea wanyonge bila hofu wala uoga wa aina yoyote ile.tunahitaji kuwatia moyo vijana aina ya Makonda badala ya kuwakatisha tamaa.tunahitaji kuwaunga mkono na kuwasemea kwa nguvu zetu zote vijana aina ya mheshimiwa Makonda kwa kuwa Makonda anazungumza lugha ya mamilioni ya watanzania ambao hawana nafasi ya kuzungumza. Mheshimiwa makonda analeta faraja kwa watanzania awapo jukwaani.ndio maana watu wanafurika na kumiminika kwa wingi sana katika mikutano yake.

Kwa hakika Rais Samia Ni kiongozi jasiri na mwenye macho ya rohoni kwa kujuwa ni yupi akae wapi kwa ajili ya kuwatetea wananchi.chaguo na uteuzi wa Makonda ni uamuzi ambao watanzania wanaendelea kuupongeza sana.
 
Unapenda ushabiki maandazi sana, Sasa unadhani Makonda anaweza kumtunishia misuli SG wake Kwa madai yako kulingana na Uzi wako uliopita? Mwisho wa mtazuko huu Makonda atapoteza Kwa sababu zifuatazo:

Anayejaribu kushindana naye ni mastermind kwelikweli na ni Moja ya wapanga mikakati Wazuri sana hivyo Kila hatua anayopiga Makonda anatakiwa kutambua katanguliwa hatua Moja mbele.
Wote lao moja tu mnaochezeshwa akili ni nyie mazuzu

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
Unapenda ushabiki maandazi sana, Sasa unadhani Makonda anaweza kumtunishia misuli SG wake Kwa madai yako kulingana na Uzi wako uliopita? Mwisho wa mtazuko huu Makonda atapoteza Kwa sababu zifuatazo:

Anayejaribu kushindana naye ni mastermind kwelikweli na ni Moja ya wapanga mikakati Wazuri sana hivyo Kila hatua anayopiga Makonda anatakiwa kutambua katanguliwa hatua Moja mbele.
bosi wa makonda ni mwenyekiti wake SAMIA SULUHU HASSAN full stop wote wateule wa Rais
 
Hayo ameyasema akiwa Wilayani Korogwe.

Sambamba na Hilo, amedai kua alipokuwa mapumzikoni , Sheikh Mkuu Zuberi pamoja na Kadinali Pengo walikua wakimtembelea Mara Kwa mara kumfariji.

..kwani Makonda au yeyote yule kutokuteuliwa ktk chama au serikali kuna shida gani mpaka Mufti na Kardinali wamfariji?
 
Kwa hivyo siku hizi katibu Mwenezi wa CCM ndio anawashughulikia watumishi wazembe?. Nilikuwa sijui.
 
Hayo ameyasema akiwa Wilayani Korogwe.

Sambamba na Hilo, amedai kua alipokuwa mapumzikoni , Sheikh Mkuu Zuberi pamoja na Kadinali Pengo walikua wakimtembelea Mara Kwa mara kumfariji.
Sheikh Zuberi anatakiwa kuhakikisha Bakwata inakuwa na vyuo vikuu vingi na muda mwingi kuutumia ktk kupanga mikakati ya elimu badala haya mambo, mambo haya kuwaachia akina Sheikh Alhad.
Upande wa 2 wana vyuo vikuu vingi lkn maadili ktk taifa lipo chini
 
unambiwa chadema wanatimua na chupi mkononi siasa hizi wallah
 
Unapenda ushabiki maandazi sana, Sasa unadhani Makonda anaweza kumtunishia misuli SG wake Kwa madai yako kulingana na Uzi wako uliopita? Mwisho wa mtazuko huu Makonda atapoteza Kwa sababu zifuatazo:

Anayejaribu kushindana naye ni mastermind kwelikweli na ni Moja ya wapanga mikakati Wazuri sana hivyo Kila hatua anayopiga Makonda anatakiwa kutambua katanguliwa hatua Moja mbele.

Tayari Mkurugenzi asotaka Kuambiwa, kasimamishwa.
 
Upumbavu mtu na peer stunts tu hizo.

Watumishi wa umma wako answerable kutoa huduma za kiserikali moja kwa moja kwa wananchi sio chama.

Hilo vuvuzela la chama linaingiliaje na mambo ya kiserikali?

Ndio maana tunahitaji katiba mpya.
 
KM akumbuke kuwa CCM ni chama cha wafanyakazi na wakulima.

Hao ndio wateja wake wakuu.

CCM lazima ijiweke karibu na watu wa tabaka la chini ambao ni wengi.

Lazima kiwasemee na kutatua changamoto zao.
 
Unapenda ushabiki maandazi sana, Sasa unadhani Makonda anaweza kumtunishia misuli SG wake Kwa madai yako kulingana na Uzi wako uliopita? Mwisho wa mtazuko huu Makonda atapoteza Kwa sababu zifuatazo:

Anayejaribu kushindana naye ni mastermind kwelikweli na ni Moja ya wapanga mikakati Wazuri sana hivyo Kila hatua anayopiga Makonda anatakiwa kutambua katanguliwa hatua Moja mbele.
Achana na Makonda wewe ili ni kitu ingine kabisaaa
 
Back
Top Bottom