Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Wote lao moja tu mnaochezeshwa akili ni nyie mazuzuUnapenda ushabiki maandazi sana, Sasa unadhani Makonda anaweza kumtunishia misuli SG wake Kwa madai yako kulingana na Uzi wako uliopita? Mwisho wa mtazuko huu Makonda atapoteza Kwa sababu zifuatazo:
Anayejaribu kushindana naye ni mastermind kwelikweli na ni Moja ya wapanga mikakati Wazuri sana hivyo Kila hatua anayopiga Makonda anatakiwa kutambua katanguliwa hatua Moja mbele.
bosi wa makonda ni mwenyekiti wake SAMIA SULUHU HASSAN full stop wote wateule wa RaisUnapenda ushabiki maandazi sana, Sasa unadhani Makonda anaweza kumtunishia misuli SG wake Kwa madai yako kulingana na Uzi wako uliopita? Mwisho wa mtazuko huu Makonda atapoteza Kwa sababu zifuatazo:
Anayejaribu kushindana naye ni mastermind kwelikweli na ni Moja ya wapanga mikakati Wazuri sana hivyo Kila hatua anayopiga Makonda anatakiwa kutambua katanguliwa hatua Moja mbele.
Umeongea point mkuu... Wote wanatumikua bwana mmoja na lengo lao mojaWote lao moja tu mnaochezeshwa akili ni nyie mazuzu
USSR
Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Hayo ameyasema akiwa Wilayani Korogwe.
Sambamba na Hilo, amedai kua alipokuwa mapumzikoni , Sheikh Mkuu Zuberi pamoja na Kadinali Pengo walikua wakimtembelea Mara Kwa mara kumfariji.
Sheikh Zuberi anatakiwa kuhakikisha Bakwata inakuwa na vyuo vikuu vingi na muda mwingi kuutumia ktk kupanga mikakati ya elimu badala haya mambo, mambo haya kuwaachia akina Sheikh Alhad.Hayo ameyasema akiwa Wilayani Korogwe.
Sambamba na Hilo, amedai kua alipokuwa mapumzikoni , Sheikh Mkuu Zuberi pamoja na Kadinali Pengo walikua wakimtembelea Mara Kwa mara kumfariji.
jinyonge mwanaume mzima una wivu kama shogaWe ni mpumbavu ht kabla hujatungwa mimba? Kwa hiyo katibu mkuu na mkurugenzi wote ni sawa? Waziri mkuu na waziri au mkuu wa mkoa wote wanalingana kisa wameteuliwa na Rais? Mabwege yapo lakini we umezidi
Unapenda ushabiki maandazi sana, Sasa unadhani Makonda anaweza kumtunishia misuli SG wake Kwa madai yako kulingana na Uzi wako uliopita? Mwisho wa mtazuko huu Makonda atapoteza Kwa sababu zifuatazo:
Anayejaribu kushindana naye ni mastermind kwelikweli na ni Moja ya wapanga mikakati Wazuri sana hivyo Kila hatua anayopiga Makonda anatakiwa kutambua katanguliwa hatua Moja mbele.
Kwa hivyo siku hizi katibu Mwenezi wa CCM ndio anawashughulikia watumishi wazembe?. Nilikuwa sijui.
Achana na Makonda wewe ili ni kitu ingine kabisaaaUnapenda ushabiki maandazi sana, Sasa unadhani Makonda anaweza kumtunishia misuli SG wake Kwa madai yako kulingana na Uzi wako uliopita? Mwisho wa mtazuko huu Makonda atapoteza Kwa sababu zifuatazo:
Anayejaribu kushindana naye ni mastermind kwelikweli na ni Moja ya wapanga mikakati Wazuri sana hivyo Kila hatua anayopiga Makonda anatakiwa kutambua katanguliwa hatua Moja mbele.