GE2025 Makonda: Kuna watu wanalipwa hela kwaajili ya kuichafua nchi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Na mimi namuomba Mwenyenzi Mungu amlinda Dkt Samia aingie kwenye uongozi wa miaka yake mitano. Na ukisikia kelele zinazopingwa hizo ni ule wivu wa kuona mwanamke anaweza?

Wanampa maneno ya kumkatisha tamaa ili akasirike au asuse, na wengi pia wanatamani kuichafua Tanzania yetu huko duniani ili wao wapate pesa Ameeleza Makonda


Your browser is not able to display this video.
 
Ondoa hili bwaabwaaa tafadhali
 
Shillingi ngapi?
Kuna watu wanaichafua bure tu.
 
This is an idiot par excellence! Kuteka na kuua raia kunaisafisha nchi?
 
Dahh....hawa wenzetu wameamua kutufanya mbuzi ndani ya zizi.
 
Huyu mseeeengeee akipatiwa baaasha huenda anaweza kutulia. Hiyo mimasaburi utadhani demmuuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…