Makonda kushindanisha wasanii wimbo wa AFCON 2027, mwambieni hayo ni mashindano ya CAF si Serikali wala TFF

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,933
Tazama hii video naona kakurupuka kama kawaida yake anadhani hii ni SAMIA CUP au mapinduzi cup
=======
Waziri wa Habari, Paul Makonda amesema serikali itaandaa shindano la wasanii kutunga wimbo bora utakaotumika rasmi kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027.

Makonda

Makonda ni debe tupu...mtu ana low IQ
 
Tazama hii video naona kakurupuka kama kawaida yake anadhani hii ni SAMIA CUP au mapinduzi cup

Waziri wa Habari, Paul Makonda amesema serikali itaandaa shindano la wasanii kutunga wimbo bora utakaotumika rasmi kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027.

Nadhani kama sijakosea CAF Kuna kitengo kinachoshighulikia jambo hili la kuteua wasanii. Hii ni michuano Yao kwa hiyo huwa wanawajibika kwa Hilo. Mfano ufunguzi wa Morocco msanii Kidjo ndio aliimba na sio Mmorocco. Kwenye ufungaji Burna Boy atafunga. So nadhani huo ni ukurupukaji. Labda aseme wimbo wa kuhamasisha locally.
 
Back
Top Bottom