Makonda kutoa fedha ofisi ya serikali

Makonda kutoa fedha ofisi ya serikali

Huyu jamaa mwisho wake unaweza kuwa sio mzuri kabisa. Kuna awamu itakuja haitamvumilia kwa haya madudu anafanya.
 
dar manula anataka kuminula jamaa,angalia alivyokuwa anaangalia makinikia
 
Makonda mpaka aje amtukane Magufuli mwenyewe labda ndio hatua zitachukuliwa. Haya ni matumizi mabaya ya madaraka
Tatizo ni mkuu huziba Masikio pindi Makonda anaposemwa kwa ubaya, ila haya ni matusi tosha...
 
Back
Top Bottom