Dr James G
Senior Member
- Oct 16, 2016
- 158
- 267
Wengi wanaweza kukataa au kukubali, lakini huyu kijana ameonesha uwezo tangu akiwa mkuu wa wilaya Kinondoni, mkuu wa mkoa Dar, mwenezi wa chama cha mapinduzi na sasa mkuu wa mkoa Arusha. Uwezo wake wa kujituma katika kazi, uwazi, kushuka chini na kutatua kero za wananchi. Anakipenda chama chake, muadilifu, mtifuu kwa katiba ya nchi na Rais wake, anachukia mafisadi na ufisadi mwenyewe.
Historia inaonesha akiwa na utendaji mzuri ndani ya jiji la Dar na akiwa katibu mwenezi ndani ya chama chake cha mapinduzi alikubalika kila mkoa aliopita na kutatua kero za wananchi kwa muda huo huo.
Mwanzo nilidhani ingekuwa ngumu kukubalika mkoa wa Arusha lakini kila daladala ukipanda kina mama wanamsifia, kina baba wanampongeza, sio sokoni na vijiweni, sio bodaboda tu bali hata wahuni wa mkoa wa Arusha pamoja na wafanyabiashara, ukiachana na utendaji wake katika majukumu lakini ana nguvu ya ushawishi zaid kwa watanzania wa hali ya chini kabisa na hao ndio wapiga kura wengi, kwa maana hiyo ni kijana mwenye nafasi nzuri sana kama chama na Rais wataaamua kupendekeza jina lake kama makamu wa Rais kijana zaid kuwahi kutokea katika nchi yetu.
Kiongozi ni yule mtu anayeweza kutatua changamoto za anaowaongoza siku mtu huyo akishindwa kutatua hzo kero anakua amekosa sifa za kua kiongozi.