Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Kuna bar ipo makazi ya watu hapa Kanisa la Katoliki la Mtakatifu Paulo inapiga muziki mkubwa sana watoto hawalali, wagonjwa wanateseka.
Bar ipo makazi ya watu inapiga muziki mkubwa sanaa na hakuna sound proof, juu ya yote sidhani kama wana leseni ya night club maana wangefuata mashariti ya kuzuia kelele kwa wakazi wa jirani.
Tunauliza nani anatoa vibali vya muziki wa kelele hivi katikati ya wiki na weekend yote?
Anae toa vibali anazingatia hadha wanayopata wakazi wa jirani hasa wanafunzi, watoto wadogo na wagonjwa?
Pesa ngumu lakini viongozi wetu wa serikali za mitaa na manispaa tulindeni wanainchi.
Nakala kwa IGP Sirro.