Noise pollution....
Mkuu nyie jikusanyeni muende mkakeshe hapo kwenye bar yake piteni shortcut otherwise mtapata tabu sana.
Uliwahi sikia rais anarushiwa chupa yenye mkojo hiyo ni shortcut ukienda kumshitaki mahakamani husikilizwi, umewahi sikia watu wamekunya mlangoni kwenye ofisi ya kiongozi yeyote hizi ndio shortcuts.
Nanyie piteni shortcuts mkampigie ngoma, mkatite, mtapike nk. Hadi akili imkae sawa awaheshimu.