Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
Mnamuota Mbowe Tu, ningekua CCM ningejiepusha na huo upumbavuTaa nyekundu kwa Mbowe
Kwahiyo Mchagga anawabuluza wanyaki kwenye ardhi yao teh teh teh tehHuyu na Mathayo David wa same, wanaishi Chunya, makongorosi, ni kundi la wachimbaji wadogo wadhahabu.
2. Amehodhi zaidi ya leseni za PML 200 na hazifanyii kazi, akishirikisns na Doto.
3. Vituo vya afya alivyosema vimejengwa vyote , hakuna hata kimoja kinafanya kazi.
4. Ni kijana mwenye chuki sana anataka kukimiliki chama mwenyewe.
5. Anasoma PhD, udom ili awe sawa na yule Bibi!
6. Kila siku Yuko Chunya, akifika bungeni anauliza maswali mawili anarudi Chunya.
7. Orodha ya leseni zake zote alizo wanyanganya wachimbaji wadogo songwe, Chunya na Bukombe tutaziorodhesha hapo.
8. Ni kijana mbabe, na kuliko kupewa Jimbo Bora kulihamisha lirudi lilikotokea.
Kwanza tunajua kila mara unamponda huyu Ndugu yetu so wala hauna jipya na tunakufahamu na kwa Taarifa yako kamwe hautamweza, huyu ni mashine kubwa, endelea kutapatapa huko.Huyu na Mathayo David wa same, wanaishi Chunya, makongorosi, ni kundi la wachimbaji wadogo wadhahabu.
2. Amehodhi zaidi ya leseni za PML 200 na hazifanyii kazi, akishirikisns na Doto.
3. Vituo vya afya alivyosema vimejengwa vyote , hakuna hata kimoja kinafanya kazi.
4. Ni kijana mwenye chuki sana anataka kukimiliki chama mwenyewe.
5. Anasoma PhD, udom ili awe sawa na yule Bibi!
6. Kila siku Yuko Chunya, akifika bungeni anauliza maswali mawili anarudi Chunya.
7. Orodha ya leseni zake zote alizo wanyanganya wachimbaji wadogo songwe, Chunya na Bukombe tutaziorodhesha hapo.
8. Ni kijana mbabe, na kuliko kupewa Jimbo Bora kulihamisha lirudi lilikotokea.
Kwanza tunajua kila mara unamponda huyu Ndugu yetu so wala hauna jipya na tunakufahamu na kwa Taarifa yako kamwe hautamweze huyu ni mashine kubwa, endelea kutapatapa huko.Kwahiyo Mchagga anawabuluza wanyaki kwenye ardhi yao teh teh teh teh
Ni Hazina kwa wana Hai na Nchi kwa ujumla. Wewe mpaka Makonda anamkubali ujue Mafuwe anaweza, mwacheni kijana wa watu awapambanie wana HaiHazina kwa nani [emoji23][emoji23][emoji16]??
Utendaji kazi wake umekuwa chachu ya maendeleo. Big up kwa Mbunge Saashisha MafuweHiyo hazina ya nini, labda afafanue kidogo
Mkuu Mona kama umekosea kunijibu? Uliyepaswa kumjibu hayo sio mimi. Rudia umwone aliyetoa hizo hojaKwanza tunajua kila mara unamponda huyu Ndugu yetu so wala hauna jipya na tunakufahamu na kwa Taarifa yako kamwe hautamweze huyu ni mashine kubwa, endelea kutapatapa huko.
Hoja żako zote za kitoto:
1. Kumiliki leseni ni ishara kuwa ni mbunge mjanja na kwetu Wachaga kuwa na fedha ni heshima na kumiliki leseni kwetu hiyo ni sifa Siyo hoja.
2. Kusoma PhD mbunge wetu pia ni Heshima
3. kwamba aishi chunya nayo ni sifa ya ni mpambanaji
4. Kuhusu bungeni kushiriki hapo ndiyo umechemsha kabsa Ingia kwenye web site ya Bunge mpaka sasa hivi Saashisha Mafuwe ndiye mbunge alichangia mara nyingi na ndiye anaongoza kuzungumza mara nyingi bunge na hajawai kukosa Bungeni. Kama hayupo bungeni yupo Jimboni Hai kila siku tupo naye kwa Kifupi ata uangaike vipi Saashisha haumwezi ata kidogo tunampenda sana sana
5. Kituo cha Afya Longoi kinafanya kazi, Kituo cha Rundugai kinafanya kazi, Kisiki kinafanya kazi Nkwansira kinafanya kazi isipokuwa Masama Kati ndiyo ujenzi unaendelea
2025 utapata majibu!Kwanza tunajua kila mara unamponda huyu Ndugu yetu so wala hauna jipya na tunakufahamu na kwa Taarifa yako kamwe hautamweza, huyu ni mashine kubwa, endelea kutapatapa huko.
Hoja żako zote za kitoto:
1. Kumiliki leseni ni ishara kuwa ni mbunge mjanja na kwetu Wachaga kuwa na fedha ni heshima na kumiliki leseni kwetu hiyo ni sifa Siyo hoja.
2. Kusoma PhD Mbunge wetu pia ni Heshima
3. kwamba aishi chunya nayo ni sifa ya ni mpambanaji
4. Kuhusu bungeni kushiriki hapo ndiyo umechemsha kabsa Ingia kwenye website ya Bunge mpaka sasa hivi Saashisha Mafuwe ndiye Mbunge alichangia mara nyingi na ndiye anaongoza kuzungumza mara nyingi Bungeni na hajawai kukosa Bungeni. Kama hayupo bungeni yupo Jimboni Hai kila siku tupo naye kwa Kifupi ata uangaike vipi Saashisha haumwezi ata kidogo tunampenda sana sana
5. Kituo cha Afya Longoi kinafanya kazi, Kituo cha Rundugai kinafanya kazi, Kisiki kinafanya kazi Nkwansira kinafanya kazi isipokuwa Masama Kati ndiyo ujenzi unaendelea
Ooh, poleMkuu Mona kama umekosea kunijibu? Uliyepaswa kumjibu hayo sio mimi. Rudia umwone aliyetoa hizo hoja
Acha chuki binafsi. Mafuwe anapiga kazi. Mwenye macho haambiwi tazama. Kama hutaki endelea kukaza ubongo. 2025 siyo mbali, ni mwakani tu, utapigwa na bumbuwazi pale Kamati Kuu ya CCM itakaporudisha jina la Saashisha Mafuwe kama mpeperusha bendera ya Ubunge kwa ticket ya CCM Jimbo la Hai2025 utapata majibu!
Ubinafsi wako utapata majibu yako.
Huko Songwe na Bukombe nako ni kwa Wanyaki? Tatizo kwelikweliKwahiyo Mchagga anawabuluza wanyaki kwenye ardhi yao teh teh teh teh
Yote hayo uliyosema anafanya Mafuwe au Serikali? Ungeeleweka iwapo ungesema kuwa Mafuwe anafanya uwakilishi mzuri wa wananchi wa Hai Bungeni...tofauti na hapo inaonekana kazi ya mbunge inakupiga chenga.Acha chuki binafsi. Mafuwe anapiga kazi. Mwenye macho haambiwi tazama. Kama hutaki endelea kukaza ubongo. 2025 siyo mbali, ni mwakani tu, utapigwa na bumbuwazi pale Kamati Kuu ya CCM itakaporudisha jina la Saashisha Mafuwe kama mpeperusha bendera ya Ubunge kwa ticket ya CCM Jimbo la Hai
Kuna Mbunge amekaa hapo miaka 15, alifanya nini?
Leo barabara zinajengwa, Vituo vya Afya, Madarasa, wananchi wa eneo la KIA wamelipwa fidia zao kupisha upanuzi wa KIA. Na mambo mengine meng. Sasa kipi kingine Mafuwe hajafanya?
Mnataka Mafuwe aje awape hela Mifukoni ndiyo mumuone kuwa ni mwema.
Vijana acheni chuki binafsi kwenye mafanikio ya mwenzako.