Makonda: Mbunge Saashisha Mafuwe ni Hazina

Naunga mkono hoja, huyu ni hazina ya kweli!, tena amshukuru sana Mungu, maridhiano yamevunjika!, vinginevyo Jimbo la Hai lilikuwa ni miongoni mwa majimbo ya kwenye mgao wa nusu mkate!, maridhiano yangeendelea, Saashisha Mafue, alikuwa atoswe!.
P
 
Mwache tutakusaaidia kumwondoa mwakani akajishughulishe na madini
 
Kujenga vituo vya afya ni huduma endelevu maana vinajengwa kutokana na ongezeko la watu wa maneneo husika.
 
hivi kabla hajawa mbunge alikuwa anafanya kazi gani?
 
Naunga mkono hoja, huyu ni hazina ya kweli!, tena amshukuru sana Mungu, maridhiano yamevunjika!, vinginevyo Jimbo la Hai lilikuwa ni miongoni mwa majimbo ya kwenye mgao wa nusu mkate!, maridhiano yangeendelea, Saashisha Mafue, alikuwa atoswe!.
P
Atatoswa mara ngapi
 
Mafue labda agombee serikali za mtaa sio ubunge
 
Nyie endeleeni kumtegemea Mbowe!! Ataendelea kujenga magorofa kwa niaba yenu
Baba ako mbona hana hata kiwanja? acha ajenge kwa pesa zake amezaliwa familia ya kitajiri na yeye anaendeleza utajiri wa baba ake
 
Sale ni mti unaoheshimiwa na wachagga.hautumiki hovyo labda kwa watu wasiojua maana ya kutumia majani ya sale.tusiwe limbukeni kutumia hilo jani kwamhemuko.mtaangamia.
 
Kampeni ya uchaguzi imeanza na wengine bado wako kwenye maandamano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…