Makonda na wasiojulikana

Makonda na wasiojulikana

pinno

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
1,213
Reaction score
1,229
Habari,

Ntaenda moja kwa moja kwenye point

Kitu ambacho kinanishangaza sana, ni kuwa sijawahi ona Mheshimiwa Makonda, Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ktk Jiji la Dar es salaam, akijiapiza kupambana na watu wasio julikana ,au hata kuwasema,yaani hata ile kuwa taja tu.

Watu wasio julikana ambao ni dhahiri wamekuwa tishio kwa usalama wa wananchi wa jiji hili na nchi kwa ujumla

Kuanzia kumpiga risasi Lissu Dodoma, Mauaji ya Akwilina, Vurugu za Eneo la MKIRU, Kumteka Mo, kumteka Roma na wenzake, Kumteka Mwandishi wa habari WA Mwananchi, Kumteka dogo Nondo ambae jana Mahakama imemwachia huru kwa kesi ambayo alipewa na jeshi la polisi kuwa alijiteka.

Na matukio mengine mengi, Kwa ninavyomsikia na kumuona kwenye vyombo vya habari Mhe Makonda, ni mtu ambaye hataki mkoa wake uwe una jambo linalosumbua

Alivyoona madawa yanashamiri, alijitokeza kupambana nayo, Sijui shisha akajitokeza (had sasa zimepotea kabisa nadhan), watoto walio telekezwa na Baba zao wanaongezeka, Makonda akasimama na akina Mama walio telekezwa, Watu wa ardhi wanashirikiana na matapeli, pamoja na banks kudhulumu nyumba za wajane na watu wasio na uwezo zilizotumika kama dhamana, akasimama nao

Kwa kweli, kwa mtu ambaye haupendi kuwa biased ni lazima utayaona haya, na utaona jitihada anazofanya huyu jamaa

Ila swali linabaki, je WATU WASIO JULIKANA, mbona kawakaushia?

Au anawaogopa, au anawajua, yaani kwake wanajulikana? Au kutokana na insensitive wao ameamua wao apambane nao behind the scene, bila makamera actions etc.

Sijui ila ishu ni kwamba Makonda huyu huyu RC na Mwenyekiti wa kamati Ya Ulinzi na usalama jijini Dar es salaam, asingeweza kukaa kimnya kuhusu watu wasio julikana. kwa nini yuko kimnya???
 
Hata bosi wake hajawahi kulaani matukio ya utekwaji watu kupotea watu kuokotwa katika viroba watu kupigwa risasi kama kigoma.na kutoa ultimatum kama sukari vyeti feki bei ya korosho etc

Hapo ndipo ninapomshusha kabisa mtawala
 
Hawajulikani kwako, yeye anawajua
Mbona hatuoni ma action, makamera, hatuoni akipita makanisani kuomba kwa ajili yao,

Miili imeokotwa koko Beach pale miezi kadhaa iliyopita,

Mwenyekiti wa kamati Ya ulinzi na usalama, ambae pia ni mlokole hajasema lolote wala haja sema tuombe
 
Hata bosi wake hajawahi kulaani matukio ya utekwaji watu kupotea watu kuokotwa katika viroba watu kupigwa risasi kama kigoma.na kutoa ultimatum kama sukari vyeti feki bei ya korosho etc

Hapo ndipo ninapomshusha kabisa mtawala
Dah, hili nalo linatia ukakasi
 
Habari,

Ntaenda moja kwa moja kwenye point

Kitu ambacho kinanishangaza sana, ni kuwa sijawahi ona Mheshimiwa Makonda, Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ktk Jiji la Dar es salaam, akijiapiza kupambana na watu wasio julikana ,au hata kuwasema,yaani hata ile kuwa taja tu.

Watu wasio julikana ambao ni dhahiri wamekuwa tishio kwa usalama wa wananchi wa jiji hili na nchi kwa ujumla

Kuanzia kumpiga risasi Lissu Dodoma, Mauaji ya Akwilina, Vurugu za Eneo la MKIRU, Kumteka Mo, kumteka Roma na wenzake, Kumteka Mwandishi wa habari WA Mwananchi, Kumteka dogo Nondo ambae jana Mahakama imemwachia huru kwa kesi ambayo alipewa na jeshi la polisi kuwa alijiteka.

Na matukio mengine mengi, Kwa ninavyomsikia na kumuona kwenye vyombo vya habari Mhe Makonda, ni mtu ambaye hataki mkoa wake uwe una jambo linalosumbua

Alivyoona madawa yanashamiri, alijitokeza kupambana nayo, Sijui shisha akajitokeza (had sasa zimepotea kabisa nadhan), watoto walio telekezwa na Baba zao wanaongezeka, Makonda akasimama na akina Mama walio telekezwa, Watu wa ardhi wanashirikiana na matapeli, pamoja na banks kudhulumu nyumba za wajane na watu wasio na uwezo zilizotumika kama dhamana, akasimama nao

Kwa kweli, kwa mtu ambaye haupendi kuwa biased ni lazima utayaona haya, na utaona jitihada anazofanya huyu jamaa

Ila swali linabaki, je WATU WASIO JULIKANA, mbona kawakaushia?

Au anawaogopa, au anawajua, yaani kwake wanajulikana? Au kutokana na insensitive wao ameamua wao apambane nao behind the scene, bila makamera actions etc.

Sijui ila ishu ni kwamba Makonda huyu huyu RC na Mwenyekiti wa kamati Ya Ulinzi na usalama jijini Dar es salaam, asingeweza kukaa kimnya kuhusu watu wasio julikana. kwa nini yuko kimnya???
kimnya=kimya
 
Watu wasiojulikana wanatumwa na Magufuli na Bashite, uhitaji degree ya chuo kikuu kulifahamu hili.
 
Yana mwisho haya!!!!! We ukumbuki kila siku 2006 -2015 kulikuwa na Threads za Riz1 lakini sasa KIMYA!! BASHITE na JIWE watapita tu matter of time MZEE BABA!!

Watu wasiojulikna walikuja kujulikana walipotaka kumteka "Peter Zakaria" na pia wakaja kujulikana walipomteka MO kwenye eneo la ulinzi mkali na wakamrudisha sehemu yenye ulinzi mkali kwa kutumia gari lile lile ambalo lilitokomea maeneo ya kawe lakini likapita pale pale kituo kikuu cha salenda na kumrudisha MO na pia waliomteka roma wakasema live atapatikana kabla ya jumapili.
 
Roma aliahidi kabla ya jumapili watapatkana na nadhani imekuwa hivyo.
 
Back
Top Bottom