pinno
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 1,213
- 1,229
Habari,
Ntaenda moja kwa moja kwenye point
Kitu ambacho kinanishangaza sana, ni kuwa sijawahi ona Mheshimiwa Makonda, Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ktk Jiji la Dar es salaam, akijiapiza kupambana na watu wasio julikana ,au hata kuwasema,yaani hata ile kuwa taja tu.
Watu wasio julikana ambao ni dhahiri wamekuwa tishio kwa usalama wa wananchi wa jiji hili na nchi kwa ujumla
Kuanzia kumpiga risasi Lissu Dodoma, Mauaji ya Akwilina, Vurugu za Eneo la MKIRU, Kumteka Mo, kumteka Roma na wenzake, Kumteka Mwandishi wa habari WA Mwananchi, Kumteka dogo Nondo ambae jana Mahakama imemwachia huru kwa kesi ambayo alipewa na jeshi la polisi kuwa alijiteka.
Na matukio mengine mengi, Kwa ninavyomsikia na kumuona kwenye vyombo vya habari Mhe Makonda, ni mtu ambaye hataki mkoa wake uwe una jambo linalosumbua
Alivyoona madawa yanashamiri, alijitokeza kupambana nayo, Sijui shisha akajitokeza (had sasa zimepotea kabisa nadhan), watoto walio telekezwa na Baba zao wanaongezeka, Makonda akasimama na akina Mama walio telekezwa, Watu wa ardhi wanashirikiana na matapeli, pamoja na banks kudhulumu nyumba za wajane na watu wasio na uwezo zilizotumika kama dhamana, akasimama nao
Kwa kweli, kwa mtu ambaye haupendi kuwa biased ni lazima utayaona haya, na utaona jitihada anazofanya huyu jamaa
Ila swali linabaki, je WATU WASIO JULIKANA, mbona kawakaushia?
Au anawaogopa, au anawajua, yaani kwake wanajulikana? Au kutokana na insensitive wao ameamua wao apambane nao behind the scene, bila makamera actions etc.
Sijui ila ishu ni kwamba Makonda huyu huyu RC na Mwenyekiti wa kamati Ya Ulinzi na usalama jijini Dar es salaam, asingeweza kukaa kimnya kuhusu watu wasio julikana. kwa nini yuko kimnya???