Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahahaha!!!
wanaume wa kigoma wala migrbuka dona na dgaa walio andaliwa kwa mawese unawalinganisha na hao walamba 'blue band?'Hapo sio Dar, ni Kogoma
Wanacheza redeTusiokuwa na inst shida tupu, Ok what's happen
Sidhani kama wanafanya vibaya kama wengi wanavyosema. Huu mchezo ni mzuri sana kwa afya ya mwili. Taache mawazo ya kizamani.Duh! Kweli wanaume sasa tumefikia levele ya ajabu, bado kidogo tutaka nasi tushike mimba na kuzaa! Lazima mababu zetu wanafurukuta makaburini...
Inasikitisha sana..Lakini tusishangae, tumesoma humu ndani jinsi wanaume wasivyo na misimamo, kulia lia kisa demu katiwa nje, mke kuzileta zile za jeuri na dharau lakini lidume badala ya kumshikisha adabu huyo mama, laja humu lipate symphathy!
Ni disaster..
Nilikuwa natafuta id ya nabii tito jf sasa nimeshaijuaIla rede ina raha yake jamani, mimi mwenyewe nachezaga na mkewangu na housegal
Nimeshajua lengo lako unichonganishe na yule kamanda mbwakokoNilikuwa natafuta id ya nabii tito jf sasa nimeshaijua
Unachezaga na mme wako, ulivyo muongo hujaweka ata space hapo uliposema mke wakoIla rede ina raha yake jamani, mimi mwenyewe nachezaga na mkewangu na housegal
Kesho nitakuwa free, kamavp timba home na mumeo tucheze redeUnachezaga na mme wako, ulivyo muongo hujaweka ata space hapo uliposema mke wako
Kesho nitakuwa free, kamavp timba home na mumeo tucheze rede
TUMEKUKOSEA NN??Ni wapemba hao
Karibu na kwa kina Billnas mtaalam wa kupima tezi dumeHome mitaa ngani kesho nimlete wifi yako?
Huu mchezo ni mzuri sana sana kwa kufanya mazoezi. Tena sana. Ni zaidi ya kukimbia. Inabidi mchezaji afanye movement za aina nyingi na kila kiungo kinapata zoezi. Nashangaa watu wanauponda.Rede si mchezo tu mkuu? Tena ni zoezi (aerobic) zile movements unakuta umechoma calories za kutosha