Makonda naongea mara ya mwisho, wadhibiti hawa mapema kabla sijawadhibiti mimi

Sidhani kama wanafanya vibaya kama wengi wanavyosema. Huu mchezo ni mzuri sana kwa afya ya mwili. Taache mawazo ya kizamani.
 
Hao sio wanaume wa dar,hao ni wanaume wa kinondoni
 
Rede si mchezo tu mkuu? Tena ni zoezi (aerobic) zile movements unakuta umechoma calories za kutosha
 
Rede si mchezo tu mkuu? Tena ni zoezi (aerobic) zile movements unakuta umechoma calories za kutosha
Huu mchezo ni mzuri sana sana kwa kufanya mazoezi. Tena sana. Ni zaidi ya kukimbia. Inabidi mchezaji afanye movement za aina nyingi na kila kiungo kinapata zoezi. Nashangaa watu wanauponda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…