Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mgombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini Paul Christian Makonda amesema kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) hakitakubali katiba ivunjwe kwa kutofanya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Ameongeza kwa kuwataka wananchi kudumisha amani kwakuwa hakuna Tanzania nyingine na kwamba wote wanaohamasisha uvunjifu wa amani wana hati za kusafiria (passport) na wengine wako nje ya nchi.
Inaendeshwa kwa katiba ya kijitabu tu?Mgombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini Paul Christian Makonda amesema kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) hakitakubali katiba ivunjwe kwa kutofanya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Ameongeza kwa kuwataka wananchi kudumisha amani kwakuwa hakuna Tanzania nyingine na kwamba wote wanaohamasisha uvunjifu wa amani wana hati za kusafiria (passport) na wengine wako nje ya nchi.
Ni aibu kuwa na Kiongozi kama huyu, ndio maana nchi yetu inaenda Hali jojoMgombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini Paul Christian Makonda amesema kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) hakitakubali katiba ivunjwe kwa kutofanya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Ameongeza kwa kuwataka wananchi kudumisha amani kwakuwa hakuna Tanzania nyingine na kwamba wote wanaohamasisha uvunjifu wa amani wana hati za kusafiria (passport) na wengine wako nje ya nchi.
Wakae kwa kutulia,Pole pole ndio kiongozi wao ajaeMgombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini Paul Christian Makonda amesema kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) hakitakubali katiba ivunjwe kwa kutofanya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.