Makonda: Ni ngumu sana kupata Uhuru wa Habari kama Wanahabari ni masikini

Makonda: Ni ngumu sana kupata Uhuru wa Habari kama Wanahabari ni masikini

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Wakati akizungumza katika maandimisho ya Uhuru wa Vyombo vya Habari dunia Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo, Paul Makonda amesema Ni ngumu sana kupata Uhuru wa Habari kama Wanahabari wenyewe ni masikini

Freedom tunayopigania ni lazima iendane sambamba na mapambano ya kujenga uchumi imara wa WanaHabari Mwanahabari kama uchumi wake haupo imara Uhuru wake wa Habari upo kwenye hatia amesema Makonda

Soma Pia:Makonda: Serikali inao wajibu wa kuwapatia taarifa vyombo vya habari, endapo wakikosa taarifa sahihi kwenye vyanzo sahihi serikali haipaswi kuwalaumu

Maadhimisho ya Uhuru wa Vyombo vya Habari dunia kwa hapa Tanzania yamefanyika Jiji Arusha

 
Back
Top Bottom