Wakati akizungumza katika maandimisho ya Uhuru wa Vyombo vya Habari dunia Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo, Paul Makonda amesema Ni ngumu sana kupata Uhuru wa Habari kama Wanahabari wenyewe ni masikini
Freedom tunayopigania ni lazima iendane sambamba na mapambano ya kujenga uchumi imara wa WanaHabari Mwanahabari kama uchumi wake haupo imara Uhuru wake wa Habari upo kwenye hatia amesema Makonda