Pre GE2025 Makonda: Nimenogewa na Ukuu wa Mkoa Arusha, sijui kama nitagombea ubunge Kigamboni

Pre GE2025 Makonda: Nimenogewa na Ukuu wa Mkoa Arusha, sijui kama nitagombea ubunge Kigamboni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Joined
Nov 19, 2024
Posts
94
Reaction score
307

“Kaka yangu Jafo [Waziri Selemani Jafo] unafahamu 2020 niligombea kule Kigamboni, sina uhakika sana kama nitaenda kwenye jimbo Kigamboni, ni kama vile nimenogewa na hii kazi aliyonipa Dkt. Samia hapa Arusha."

Pia soma
 
Yeye anaamini kuwa Lema hagombei,

Atashangazwa!!
 
Back
Top Bottom