M Mwizukulu wa Buganda Member Joined Nov 19, 2024 Posts 94 Reaction score 307 Jan 23, 2025 #1 Your browser is not able to display this video. “Kaka yangu Jafo [Waziri Selemani Jafo] unafahamu 2020 niligombea kule Kigamboni, sina uhakika sana kama nitaenda kwenye jimbo Kigamboni, ni kama vile nimenogewa na hii kazi aliyonipa Dkt. Samia hapa Arusha." Pia soma Pre GE2025 - Makonda ajaribu tena bahati yake Kigamboni Pre GE2025 - Ndugulile atangaza rasmi kutokugombea tena ubunge mwaka 2025! Je, Makonda atarudi kugombea ubunge Kigamboni? Pre GE2025 - Kama Dkt. Ndugulile atateuliwa kuwa Mkurugenzi wa WHO (Afrika) basi Komredi Makonda atakuwa na Nafasi ya kugombea Ubunge Kigamboni
Your browser is not able to display this video. “Kaka yangu Jafo [Waziri Selemani Jafo] unafahamu 2020 niligombea kule Kigamboni, sina uhakika sana kama nitaenda kwenye jimbo Kigamboni, ni kama vile nimenogewa na hii kazi aliyonipa Dkt. Samia hapa Arusha." Pia soma Pre GE2025 - Makonda ajaribu tena bahati yake Kigamboni Pre GE2025 - Ndugulile atangaza rasmi kutokugombea tena ubunge mwaka 2025! Je, Makonda atarudi kugombea ubunge Kigamboni? Pre GE2025 - Kama Dkt. Ndugulile atateuliwa kuwa Mkurugenzi wa WHO (Afrika) basi Komredi Makonda atakuwa na Nafasi ya kugombea Ubunge Kigamboni
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Jan 23, 2025 #2 Atulie kwanza hapo japo najua anatamani arudi dar
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Jan 26, 2025 #4 Yeye anaamini kuwa Lema hagombei, Atashangazwa!!