Makonda lilikuwa linalala tu chuo kusoma aaah hayo ndio matokeo yake sasa 😂Huyu mjinga anawadhalilisha Sana wasukuma wenzake... Sisi tuliopo huku vijijini inatusaidia vipi kwenye uchumi? Kwahiyo Yule Arnold Schwarzenegger alikimbia? Mbona huyu jamaa ni mjinga kiasi hiki
Hutaki kutumia hela zako kwenda kuwaona akina Mandonga wa Marekani?Hii nchi ina mambo ya kijinga sana alloooo...
Anawaleta ma legend kutalii au ni mpambano? Mambo ya kijinga tena ya kuwadharirisha Watanzania tuonekane sote capacity yetu ya kufikiri ni ndogo.Hizo fedha za kuwaleta Floyd na Tyson kwanini zisielekezwe kwenye miradi ambayo bado haijakamilika kuna vijiji shule hazina madawati, hospital ziko mbali, barabara mbovu kupita kiasi
Afrika ni bara linaloongoza kwa ulimbukeni duniani voongozi wengi wanatumia fedha nyingi kuleta watu maarufu ni matumizi mabaya ya fedha za umma.
======
Pia soma:
Wewe una akili Gani?Haya ni mambo ya kizamani huyu mjinga anayaleta.
HuyohuyoAnord 😂
.Hizo fedha za kuwaleta Floyd na Tyson kwanini zisielekezwe kwenye miradi ambayo bado haijakamilika kuna vijiji shule hazina madawati, hospital ziko mbali, barabara mbovu kupita kiasi
Afrika ni bara linaloongoza kwa ulimbukeni duniani voongozi wengi wanatumia fedha nyingi kuleta watu maarufu ni matumizi mabaya ya fedha za umma.
======
Pia soma: