Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

unajua procedure za kumpata mkuu wa mkoa? au vetting ya kitaifa?

system inahusika

kusema kafoji vyeti, ni sawa na kusema system haikufanya kazi....na haiko tayari kuaibika

Magufuli hayuko tayari kukubaliana na nyie


watanzania wengi washabiki wa mambo ya msimu
 
Macho huwa yanaona na Moyo unaongea time Will tell
Makonda oyeeeee, haijawahi kutokea kiongozi kuongelew hivi. Yaani una fans wengi, ila hawataki tu kusema ukweli.Hongera kwako

Hapa kazi tu
 
Mkuu Molembe hawezi kuweka vyeti alivyopata ZERO ya uhakika. Angekuwa navyo asingekaa muda wote huu bila ya kuviweka vyeti hivyo hadharani.
Ni kweli kabisa mkuu kwa jinsi huyu jamaa alivyo na hili swala lilipofikia, kama kweli vyeti anavyo tayari angekuwa amesha clarify hili swala kwa vitendo kabisa na kuwashikisha adabu wale wote walioliibua.
 
GSM wapo busy wanapenya mpaka baraza la mitihani ili kufidia ushahidi pia yule Mmiliki wa vyeti vyenye jina la paul keshatolewa Tabora yupo Dsm kawekwa Hotelini katulia anafundishwa jinsi ya kumnasua Daud Albert
 
Ameumbuka Mkuu anatafuta mlango wa kutokea hauoni.

Ni kweli kabisa mkuu kwa jinsi huyu jamaa alivyo na hili swala lilipofikia, kama vyeti anavyo tayari angekuwa amesha clarify hilli swala kwa vitendo kabisa na kuwashikisha adabu wale walioliibua hili.
 
GSM wapo busy wanapenya mpaka baraza la mitihani ili kufidia ushahidi pia yule Mmiliki wa vyeti vyenye jina la paul keshatolewa Tabora yupo Dsm kawekwa Hotelini katulia anafundishwa jinsi ya kumnasua Daud Albert
Weee tutawafunga
 
System hiyo hiyo na procedure hizo hizo ndio zilizembea mpaka raisi akavunja katiba ya nchi kwa kuteua wabunge wanaume sita wa viti maalum badala ya watano...Makonda kafoji vyeti lipo wazi na halina mjadala wala Magufuli hapaswi kulaumiwa kwasababu ni uzembe wa system kilichobaki ni kumtumbua basi kuiokoa serikali na kadhia hii.
 

unasema system ijitumbue? mbona mna wish unthinkable?
 
Hofu yangu huyu mwanasiasa kijana atabaki kusubiri nafasi za kuteuliwa tu make za kugombea kutamletea balaa kama hizi tuhuma ni kweli.
 
Kweli kabisa Mkuu halafu wanaweza kabisa kulipotezea hili kiaina aina.
Likipotezewa hili basi hata ile operation yao ya kutafuta wenye vyeti batili itaishia korongoni.
 
Reactions: BAK
hivi kwa kelele kama hizi hawezi kufanya mpango wakamtengenezea cheti chaukweli na wakamuita yule jamaa wa tabora wakakaa nae chini wakaua hili soo ili kuziba madudu yaliyofanywa na system
najaribu tu kuwaza kwa sauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…