Makonda: Rais Samia ametoa Tsh. 2 Bilioni kwa ajili ya Watengeneza maudhui Mtandaoni (Content Creators)

Viwanda vipya vya machawa vinaenda kuzalishwa. Hao wanufaika wote itabidi wakubali kuipamba Serikali 24/7 na kuwa chawa pro max
 
Kwahy hapo wale wakathoric wa kuchemsha watakuwa wanachekelea
Mgodi unatema😂
 
Kwa hakika napata tabu kweli kujua nani katuloga Watanzania,kweli hii sirikali ambaye habari sahihi kulingana na matukip halisi,inaona ni habari haramu na wanahabari wenye maadili ya kazi ni adui,kweli itoe 2b kwa ajili ya watendeneza maudhui ya mtandaoni!Ila kama ni yale yanayofanana na ya Wakatoliki wa Yombo,binafsi nitaungana na mweshimiwa Waziri mia kwa mia,ila kama ni habari zile mfano wa vyombi angalau tu kama akina bbc kabla ya kuanza kufanyiwa umafia wa kibongo isingewezekana,achilia mbali wakina Aljazeer wasio cheka na nyani hadi ndani ya pango lake!
 
Viwanda vipya vya machawa vinaenda kuzalishwa. Hao wanufaika wote itabidi wakubali kuipamba Serikali 24/7 na kiwa chawa pro max
U tube pekee imechafuka kama sii kuchafukwa baada ya mo29
 
18 February 2026
Geneva, Switzerland



Zimbabwe

Silenced for Reporting: Zimbabwe’s War on the Press with Blessed Mhlanga​

Blessed Mhlanga, Zimbabwean journalist and former political prisoner, addressed the 18th Annual Geneva Summit for Human Rights and Democracy on February 18, 2026. 18th Annual Geneva Summit for Human Rights and Democracy, U.N. Opening, Tuesday, February 17, 2026 Key Quotes: “This is the new face of repression in Zimbabwe

Speech by Blessed Mhlanga


View: https://m.youtube.com/watch?v=Or3hXOWnwwsMwandishi wa habari wa Zimbabwe Blessed Mhlanga alitoa hotuba yenye nguvu katika Mkutano wa Geneva wa Haki za Binadamu na Demokrasia, akielezea kwa undani siku zake 73 kizuizini kabla ya kesi na kile anachokielezea kama "sheria" - matumizi ya mfumo wa kisheria kuwanyamazisha waandishi wa habari na sauti za upinzani. Katika uchambuzi huu anafafanua:

• Kwa nini Mhlanga anasema uandishi wa habari unachukuliwa kama tishio la usalama


• Kukamatwa kunahusishwa na matangazo yanayomhusu veteran wa Uhuru mzee Blessed Geza

• Matumizi ya kizuizini kabla ya kesi kama adhabu ya kisiasa

• Gharama ya kifedha na kihisia kwa familia yake

• Shinikizo la kidiplomasia la kimataifa lililosababisha kuachiliwa kwake

• Mapendekezo ya marekebisho ya katiba yanaongeza nguvu ya urais

• Hii ina maana gani kwa demokrasia ya Zimbabwe na taswira ya kimataifa Je, Zimbabwe inarekebisha - au inaboresha ukandamizaji?

Hii si hadithi ya mtu mmoja tu. Ni kuhusu mustakabali wa uhuru wa vyombo vya habari, katiba, na utawala nchini Zimbabwe.

📢 Je, unaamini shinikizo la kidiplomasia la kimataifa linafanya kazi - au halibadilishi chochote
Blessed Mhlanga, Zimbabwean journalist and former political prisoner, addressed the 18th Annual Geneva Summit for Human Rights and Democracy on February 18, 2026.
Source : Geneva Summit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…