MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Hahahahaaaa..........😁😂Joyce wowo kwenye ubora wake
Aiseee!Eti anaitwa ....?Joyce wowo kwenye ubora wake
Huyo huyo Makonda, si ndiye aliyenukuliwa akisena hapa nchini hakuna chama Cha upinzani kinacho-exist!View attachment 2876452"
Toka tumpate katibu mkuu mpya ndg Nchimbi, wapinzani wameanza kutetemeka na simu yangu imekuwa bize kupita maelezo. Viongozi wa ACT, Chadema, NCCR nk wakiniomba kufanya mchakato wa kupewa kadi za Huyo uanachama.
Wengi ni makatibu,wenyeviti na makamu wenyevoti wamekuwa wakinisisitiza." Makonda ameyasema hayo leo alipokuwa akiongea na EATV.
Anabwekabweka kiaina.Kijijini kwetu wanasema anawaganisa.Muongomuongo balaa!Huyo huyo Makonda, si ndiye aliyenukuliwa akisena hapa nchini hakuna chama Cha upinzani kinacho-exist!
Sasa hao Wenyeviti na Makatibu wanaotaka kujiunga na CCM, watakuwa wanatoka kwenye vyama vipi?
This is totally the biggest contradiction of the year 2024!
Ahaaa kumbe Chongolo alikuwa sanamu sasa kaja mtu wapinzani wanatetemeka, siyo. Kipindi Samia anamteua Chongolo, Nchimbi hakuwepo? Huyo ndiye Makonda bhana mbali na kiki yeye ajuwagi wapi na wakati gani aongee nini.View attachment 2876452"
Toka tumpate katibu mkuu mpya ndg Nchimbi, wapinzani wameanza kutetemeka na simu yangu imekuwa bize kupita maelezo. Viongozi wa ACT, Chadema, NCCR nk wakiniomba kufanya mchakato wa kupewa kadi za uanachama.
Wengi ni makatibu, wenyeviti na makamu wenyevoti wamekuwa wakinisisitiza." Makonda ameyasema hayo leo alipokuwa akiongea na EATV.
huyu anapaswa akumbushwe tu kwamba serikali ya dictator uchwara aliyokuwa akiitumikia ilishawahi wahi wanunua kina waitara WAITARA na wengine na yeye akaonekana akinuuliwa juu juu na kushikwa makalio na mapolisi huku akiwa na chupa ya ulevi pale central kama james delicious. lakini chedema hakijafa, chama ni imaani, cyo majengo wala manguo ya kijani hayo. ndo mana nyerere hajawahi kuvaaHahahahaaaa..........😁😂
Awadanganye wapumbavu wenzake. Huyo pimbi Nchimbi ana maajabu gani hadi watu wamfuate? Makonda anaanza kumshobokea Nchimbi kwani na yeye ni mzee wa fitna hata kesho tu akitaka kumuanzishia Makonda anang'olewa hapo.View attachment 2876452"
Toka tumpate katibu mkuu mpya ndg Nchimbi, wapinzani wameanza kutetemeka na simu yangu imekuwa bize kupita maelezo. Viongozi wa ACT, Chadema, NCCR nk wakiniomba kufanya mchakato wa kupewa kadi za uanachama.
Wengi ni makatibu, wenyeviti na makamu wenyevoti wamekuwa wakinisisitiza." Makonda ameyasema hayo leo alipokuwa akiongea na EATV.
Makonda yale makalio yanamfanya asijiamini kila wakati anajistukia kuwa watu wanamchekaJoyce wowo kwenye ubora wake
Hata huyo Nchimbi hana maajabu..ni mmoja wa samaki .....Ameongea pumba mpaka naona aibu.