Makonda: Sio lazima niteuliwe, ninaweza kuwa Kiongozi wa familia

Hua natafakar sana juu ya hawa chadema napata jibu kua ni chama imara sana, haiwezekan kiwe vinywani mwa watu kila saa nashawishika kbs kua chadema gotta strength

Is like a dead lion , his strength is only imaginary.
Chadema is no more, a dead history , never to raise again.
 
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Paulo Makonda ameibuka upya kwa kusema kuwa sio lazima apate uteuzi bali anaweza hata kuwa Kiongozi wa Familia.

Mheshimiwa Makonda kabla ya kuachia Ukuu wa Mkoa aligombea Ubunge wa Jimbo la Kigamboni kupitia CCM bila mafanikio.

MCL
Kwani nani amemwambia kuwa lazima ateuliwe au anajipigia debe kama siyo kutafuta kiki. Daudi Bashite tulia acha ulimbukeni. Ulipata ukaharibu kwa tamaa zako na upogo.
 
Kichwa kilikuwa kikubwa sana pale mama alipokuwa anatafuta makamu wake. Manaa sio kwa kampeni zile mitandaoni....baada ya jina kutoka nahs aliugua
 
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Paulo Makonda ameibuka upya kwa kusema kuwa sio lazima apate uteuzi bali anaweza hata kuwa Kiongozi wa Familia.

Mheshimiwa Makonda kabla ya kuachia Ukuu wa Mkoa aligombea Ubunge wa Jimbo la Kigamboni kupitia CCM bila mafanikio.

MCL
hiyo heading kwa haraka haraka nilisoma "Paula Makonda" nikasema heee....kumbe ni "Paul Makonda"😆
 
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Paulo Makonda ameibuka upya kwa kusema kuwa sio lazima apate uteuzi bali anaweza hata kuwa Kiongozi wa Familia.

Mheshimiwa Makonda kabla ya kuachia Ukuu wa Mkoa aligombea Ubunge wa Jimbo la Kigamboni kupitia CCM bila mafanikio.

MCL
Angeteuliwa angedeuka hivi!?[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kilichomponza ni kuinua mabega...

Lakini siku zote CCM ni ileile, msishangae akapewa tena shavu
 
bashite na mama wametoka mbali aampe hata udas huko nachingwea
JamiiForums615597237.jpg
 
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Paulo Makonda ameibuka upya kwa kusema kuwa sio lazima apate uteuzi bali anaweza hata kuwa Kiongozi wa Familia.

Mheshimiwa Makonda kabla ya kuachia Ukuu wa Mkoa aligombea Ubunge wa Jimbo la Kigamboni kupitia CCM bila mafanikio.

MCL

Mwambie atuache huyo Zero Brain.
 
Is like a dead lion , his strength is only imaginary.
Chadema is no more, a dead history , never to raise again.
If so, why always you talking about dead lion? If their strengths is just like imaginary why you trying to argue with em for some points? If chadema is no more why even MPs are playing their social media address for some points? If they gotta dead why even MPs are fighting back with em' even if they are out of a Parliamentary? If u believe they never raise again why Gov still preventing political activity?
 
The only strength they have is kubisha on everything. On that i agree with you, they gotta strength!
The duty of opposition worldwide.. they're not for praise and worship, always they go against something that is not suitable or economically are un profitable. And is not their duty to accept everything, that is against the law, when opposition accept some points u can see em quite. They silence means they accepted some points.
 
Aliyekuwa mkuu wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kwa sasa sio lazima ateuliwe au apigiwe kura kuwa kiongozi, anaweza kuongoza hata familia yake.

Ameyasema hayo jana Jumanne Aprili 20, 2021 jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari katika mahafali ya kuhitimu stashahada ya uzamili ya uongozi katika Chuo Kikuu cha Aalto cha Finland kikishirikiana na Taasisi ya Uongozi Tanzania.

“Mimi ni mkulima, ni mfanyabiashara pia kwa hiyo ninaweza kuwa na mchango mkubwa sana hata kwenye kampuni ninazoweza kufanya kazi. Siyo lazima uwe kiongozi wa kuteuliwa au wa kupigiwa kura, unaweza kuwa kiongozi hata wa familia,” amesema.

Makonda aliyeteuliwa kuwa mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mwaka 2016, mwaka 2020 alijitosa kwenye kura za maoni CCM kuwania kuteuliwa kugombea ubunge wa Kigamboni kwa tiketi ya chama hicho tawala bila mafanikio baada ya kushika nafasi ya pili nyuma ya mbunge wa jimbo hilo, Dk Faustine Ndugulile.

Huku akitaja masomo ya intelijensia ya hisia na intelijensia ya kiroho, Makonda amesema katika kozi hiyo amejifunza uongozi ikiwa pamoja na kujali maisha ya watu.

“Haya masomo mawili yanaonekana yanafanana lakini namna ya kuya connect (kuunganisha) ni lazima pia ujue pia maisha ya watu unaowaongoza na hali wanazotoka, unaweza kumfokea mtu kumbe nyumbani kwake hajala, unaweza kumtukana mtu.”

“Ukitaka kuwa kiongozi mzuri, lazima uwe tayari kujifunza. Mazingira yanabadilika kila wakati, siasa inabadilika, uchumi unabadilika, hivyo ili uwe kiongozi mzuri unapaswa kujifunza kila nyakati,” amesema Makonda.
 
Akili zimekuja baada ya kuachia madaraka?
Bado anatakiwa alipe damu za watanzania wasiokuwa na hatia, na haki ya wananchi aliyoipora.
 
Aendelee kujifunza. Kijana ana uthubutu sana ni vile hakuwa anajua A B C za uongozi na pia mkuu alikua anamlea....

Kujikwaa si kuanguka...

Akae benchi zaidi apate kujifunza
 
Aliyekuwa mkuu wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kwa sasa sio lazima ateuliwe au apigiwe kura kuwa kiongozi, anaweza kuongoza hata familia yake.

Ameyasema hayo jana Jumanne Aprili 20, 2021 jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari katika mahafali ya kuhitimu stashahada ya uzamili ya uongozi katika Chuo Kikuu cha Aalto cha Finland kikishirikiana na Taasisi ya Uongozi Tanzania.

“Mimi ni mkulima, ni mfanyabiashara pia kwa hiyo ninaweza kuwa na mchango mkubwa sana hata kwenye kampuni ninazoweza kufanya kazi. Siyo lazima uwe kiongozi wa kuteuliwa au wa kupigiwa kura, unaweza kuwa kiongozi hata wa familia,” amesema.

Makonda aliyeteuliwa kuwa mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mwaka 2016, mwaka 2020 alijitosa kwenye kura za maoni CCM kuwania kuteuliwa kugombea ubunge wa Kigamboni kwa tiketi ya chama hicho tawala bila mafanikio baada ya kushika nafasi ya pili nyuma ya mbunge wa jimbo hilo, Dk Faustine Ndugulile.

Huku akitaja masomo ya intelijensia ya hisia na intelijensia ya kiroho, Makonda amesema katika kozi hiyo amejifunza uongozi ikiwa pamoja na kujali maisha ya watu.

“Haya masomo mawili yanaonekana yanafanana lakini namna ya kuya connect (kuunganisha) ni lazima pia ujue pia maisha ya watu unaowaongoza na hali wanazotoka, unaweza kumfokea mtu kumbe nyumbani kwake hajala, unaweza kumtukana mtu.”

“Ukitaka kuwa kiongozi mzuri, lazima uwe tayari kujifunza. Mazingira yanabadilika kila wakati, siasa inabadilika, uchumi unabadilika, hivyo ili uwe kiongozi mzuri unapaswa kujifunza kila nyakati,” amesema Makonda.
Dr. DAB
 
Back
Top Bottom