Makonda: Sio lazima niteuliwe, ninaweza kuwa Kiongozi wa familia

Ukisikia statement za mtu kujisifia..mara zote mtu huyo huwa na uchungu, hofu na kutojiamini. Ila penya mamcho ya watu hujitia nguvu ila ukimulika ndani ndio utajua. Sehemu ya mwisho ya clip hii..utaona namna alivo na uchungu..kalia kweli...ingawa kajificha ktk maombi ...dawa ya amani ni kufanya haki..hakuna madhabahu wala mtu atakaeweza kusaidia kuisafisha nafsi yako pale ukitenda mabaya...ukitaka amani..tenda haki..kulia ama kujipambanua haisaidii kuiponya nafsi yako! Huyu jamaa ni somo kwetu sote tunaojidaia vya kupewa!!
 
Kama ukisoma hadithi ya sizitaki mbichi hizi basi ndio huyu bwege. Kama unataka uteuzi heri ujisemee tu watu wakusaidie.
 
Makonda aliona kitakachomkuta Maghufuli, kimsingi mshikaj alikuwa well prepared, na wala hakukurupuka kutamani kujibanza kwenye ubunge, kuachia kwake ofisi kulifanya defense ya Jiwe DSM ishake pakubwa.
Umewaza vyema sana. Hapa inaonyesha Makonda ndiyo alikuwa hirizi ya jiwe.

Jiwe hakufanya yanayo mpasa kwa ajili ya kiburi cha uzima. Panapo mujibu wa kijana.....akakaa kando ndo ikawa vile lkn makonda atulie tu tupo wengi tutamchomeka...

Sijui sasa hivi yuko wapi,?, abapika chips....bado dogo yuke anaweza.
 
Aisee, kweli tumetoka mbali kama Taifa. Au nasema uongo ndugu zangu?
koma kututia mikosi miaka 50 uhuru tumetoka mbali ya wapi wapi????

Mataifa yameishi tangu yesu anazaliwa bado yapo weee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…