Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Huyu Makonda ni mkuu wa mkoa au ni katibu mwenezi wa CCM?
Hivi karibuni wakati anaongea mbele ya Rais Mwinyi, Makonda alisema kuwa haoni kitu kitakachomzuia kumpigia kampeni Rais Mwinyi na Rais Samia kwenye uchaguzi unaofuata.
Pia amesema kuwa ameshaona kuna baadhi ya watu wana nia ya kugombea na atadeal nao kwani hao watu ni saizi yake.
Soma pia: RC Makonda apiga chai na maandazi wakati akitoa wito kwa wananchi wa mkoa huo kujitokeza kujiandikisha kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa
Hizi kauli zinatokaje kwa mtu kama Makonda ambaye ni mtumishi wa umma na analipwa mshahara na kodi za wananchi wa vyama vyote?
Mna uhakika huyu ni mtumishi wa umma kweli?