Mindyou JF-Expert Member Joined Sep 2, 2024 Posts 1,869 Reaction score 4,877 Oct 28, 2024 Thread starter #21 milele amina said: 2025 atatakiwa kwenda The Hague, Kuna timing inafanywa na Lissu. Click to expand... Hoja yako kama inakuja hivi alafu inakataa. Una kitu
milele amina said: 2025 atatakiwa kwenda The Hague, Kuna timing inafanywa na Lissu. Click to expand... Hoja yako kama inakuja hivi alafu inakataa. Una kitu
Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,113 Reaction score 17,645 Oct 28, 2024 #22 milele amina said: 2025 atatakiwa kwenda The Hague, Kuna timing inafanywa na Lissu. Click to expand... Akikataa kwenda watamfanya nini ?
milele amina said: 2025 atatakiwa kwenda The Hague, Kuna timing inafanywa na Lissu. Click to expand... Akikataa kwenda watamfanya nini ?
W wisemann JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 251 Reaction score 197 Oct 28, 2024 #23 Tatizo anadhani amekubali, watu wanakuja kwa shida Tu na ukandamizaji WA ccm. Uzunguke usizinguke Maisha yanaendelea. Hiyo NI mipango yako
Tatizo anadhani amekubali, watu wanakuja kwa shida Tu na ukandamizaji WA ccm. Uzunguke usizinguke Maisha yanaendelea. Hiyo NI mipango yako
Charlez kanumba Senior Member Joined Nov 2, 2024 Posts 187 Reaction score 501 Nov 6, 2024 #24 milele amina said: Usisahau, Uzunguke ukiwa na cheti chako cha kidato cha NNE Tena Original. Tutakuelewa Click to expand... Kwani jamaa hakumaliza 0 level au alipata zero?
milele amina said: Usisahau, Uzunguke ukiwa na cheti chako cha kidato cha NNE Tena Original. Tutakuelewa Click to expand... Kwani jamaa hakumaliza 0 level au alipata zero?