johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Acha uzushi na uongo, je hatua zikichukuliwa utauficha wapi uso wakoImeisha hiyo hakuna kitu kitaendelea tena
Chukua sasa tuoneAcha uzushi na uongo, je hatua zikichukuliwa utauficha wapi uso wako
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Acha uzushi na uongo, je hatua zikichukuliwa utauficha wapi uso wako
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Makonda hana mamlaka ya kufanya chochote hata Katibu kata tu hawezi kumfanya chochote, hizo kelele zake ni kupayuka tu, NEC na CC ndio vyombo vya maamuzi kwenye chama.Imeisha hiyo hakuna kitu kitaendelea tena
Makonda mwenye anatakiwa kuchukuliwa hatua.Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amesema kuhusiana na swala la mbunge wa Babati mh Gekul, CCM ni Chama kikubwa na kina taratibu makini
Kuna Vikao Vya nidhamu na Maadili kuanzia Tawini na kuendelea hivyo kama kuna lolote litathibitika Vikao husika vitachukua hatua stahiki na kama litafika Ngazi ya taifa tutalitolea Taarifa
Source: Ayo TV
CCM iko makini haitaki Kesi za kijinga Jinga kama za akina Halima James Mdee na wenzakeImeisha hiyo hakuna kitu kitaendelea tena
Kwahiyo kuwazamisha watu chupa kwenye Tigo hilo mmelibariki?CCM iko makini haitaki Kesi za kijinga Jinga kama za akina Halima James Mdee na wenzake
Chama kinachunguza Vitendo vya namna hii katoka navyo wapi maana Lumumba hii Tabia ni ngeniKwahiyo kuwazamisha watu chupa kwenye Tigo hilo mmelibariki?
Jambazi Ole Sabaya amejifunza wapi?Chama kinachunguza Vitendo vya namna hii katoka navyo wapi maana Lumumba hii Tabia ni ngeni
Hatua zichukliwe na nani? Huyu huyu Makonda makalio makubwa mwenye uovu mpk ananuka? Wakati Makonda akichukua hiyo hatua sura yake atakuwa kaiweka wapi?Acha uzushi na uongo, je hatua zikichukuliwa utauficha wapi uso wako
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Pole.Huyu angeekaa kimya tu....hako ka cheo kajiona Mfalme teh teh....kila idara matamko aeende na magulioni
Ndiyo UWT mnajidanganya hivyo?CCM iko makini haitaki Kesi za kijinga Jinga kama za akina Halima James Mdee na wenzake
Bongo hiiAcha uzushi na uongo, je hatua zikichukuliwa utauficha wapi uso wako
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Hakuna lolote litaendelea tena