.
ChoiceVariable FaizaFoxy Pascal Mayalla kinachoitwa vetting huwa kinafanyikaje??
Vetting inafanyika kama ifuatavyo
Hatua ya kwanza ni
1. Data collection kuanzia birthdata, parents, education, employment. Kila mtu kila mahali uliposajiliwa kuna file lako.
Trail, unafuatiliwa public & private life, kila mkoa, kila wilaya, kila kata kila mtaa, kila ofisi kuna wale "jamaa zetu"
2. Hatua ya pili ni security clearance, kama ulifanya jinai yoyote.
3. Hatua ya tatu ni Data processing, wanazichakata data zako na kutoa recommendation
4. Mamlaka ya uteuzi inapelekewa majina plus recommendation.
5. Mamlaka ya uteuzi inafanya uteuzi.
JPM aliupuuza huu utaratibu, alipotaka kumteua Antony Mtaka, Recommendations zili reccomend hafai hata kuwa katibu kata!. JPM akaipuuza recommendations yao akamteua!, ikaja ku happens ndio the best RC, JPM akampeleka Dodoma.
Jaji Mkuu Othman alipofikia kustaafu, JPM alipopelekewa majina, akawaona wote hawafai, akampick mtu nje ya recommended na kumkaimisha u CJ!.
Haya madudu yote ya teua tumbua ya Rais Samia, sio yeye ni hao jamaa wa vetting hawatimizi wajibu wao kikamilifu
Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda
Ila pia kuna baadhi ya hawa vetting imefanyika vizuri kabisa, wakati wanateuliwa they were good, baada ya uteuzi wanaota mapembe!, wanabadilika wanakuwa ma beasts!.
P