Makonda: Taifa Stars ni mali ya CCM

Makonda: Taifa Stars ni mali ya CCM

Write your reply...Watu wa Dar nitakulaumuni sana kwa hili ilikuwaje mkaruhusu Bashite akaingia dar kirahisi huyu alitakiwa kukanyaga Dar kwa Viza .. alafu mkampa na ukuu wa mkoa sa hivi anaihangaisha Tanzania nzima kwa sifa zake ...yeyote atakaekutana nae amwambie apige danadana tano tu Kama hatoweza tafadhali akae mbali sana na masuala ya mpira!!
 
Mkuu hili nalo litapita.
Awamu ya 4 Ridhiwani slisumbua sana nchi hii, kila kitu Riz, lkn sasa unamsikia tena?
Makonda season itakoma wala isikumbue kichwa.
Write your reply...Watu wa Dar nitakulaumuni sana kwa hili ilikuwaje mkaruhusu Bashite akaingia dar kirahisi huyu alitakiwa kukanyaga Dar kwa Viza .. alafu mkampa na ukuu wa mkoa sa hivi anaihangaisha Tanzania nzima kwa sifa zake ...yeyote atakaekutana nae amwambie apige danadana tano tu Kama hatoweza tafadhali akae mbali sana na masuala ya mpira!!
 
Nimesikia kauli hii ikitolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda, kuwa timu ya taifa Taifa Stars ni mali ya Chama cha mapinduzi na kuwa Taifa Stars ikishinda imeshinda CCM. Kauli hizi ni moja ya kauli za hovyo ambazo haziwezi kutolewa na kiongozi mwenye busara anayejua maana ya mpira ni nini.

Kwanza inaondoa umoja na mshikamano kwa wapenzi, mashabiki na wachezaji wenyewe, badala ya michezo kutumika kama njia ya kuliunganisha taifa kauli hizi zinaendeleza mpasuko.

Nawashauri viongozi hasa wa kisiasa wajitahidi kutoingiza siasa kwenye michezo, michezo ni burudani, michezo ni furaha unapoleta siasa kwenye michezo unaharibu maana halisi ya michezo.

Mwisho kabisa napenda Makonda ajue kuwa Taifa Stars ni timu ya watanzania wote wakiwepo wasio na vyama.

Poleni watanzania kwa kufungwa 3-2 na majirani zetu Kenya, next time tutajitahidi nasi tushinde.

View attachment 1140639
Viongozi uchwara mnaota..Sasa mmefungwa (timu ya CCM) kwa hiyo hakuna Stiegler, SGR na ATCL. Hilo ni tatizo la kuwafanya viongozi watu wa mitaani.
 
With clean heart leo niliombea kenya itufunge hawa machostic makonda na kingu wanatuona wasengerema sana wanaleta siasa kwenye mpira
Nimejikuta automatic nikiruka kushangilia goal la 3 la Kenya kabisa bila kupenda RIP Taifa stars. Wamepata walichotaka hawa wana siasa wa hovyo na uhakika watu kama mimi jana walikuwa wengi tu. Nimepoteza kabisa mapenzi nii hii team nimefikia nashangilia Kenya .....
 
Duhh poor makonda, watu walisema vijana msosi , muda unavyoenda stamina hakuna!
Spot on ndugu yangu, stamina issue kubwa kama marathon wa Kenya kila muda ndio kwanza unaona wananguvu sisi kama wa mbio fupi. Hatuna stamina na fitness chakula na mazoezi hayo ila walikuwa busy na swala walikuwa wanaomba sana. Mungu anaombwa afya na pepo haombwi vitu vya kidunia. unataka kushonda fanya mazoezi jipange.
 
Hili la stamina watu walishaliona lakini Makonda akwazodoa waliokuwa wanasema. ndio maana utaona almost kipindi cha kwanza tulitawla sana na matumaini makubwa lakini kipindi cha pili Mapafu PUTO yakawa yamejaa!! magoli kulinda ikawa kazi!! maana kasi ilipungua sana !! Kitendawili......Tega...... nani mchawi?.......
 
alikosea kusema hivyo taifa stars haina chama!! ndugai si kamsema? sasa kama speaker anamsema tena live BUNGENI mh!!
 
Back
Top Bottom