ABIRIA: konda usiongeze watu gari limesha jaa
KONDA: sheria za nchi zipo kibao nawewe unaleta za kwako tena!
ABIRIA: Sitaki siti za nyuma kuna joto
KONDA: aaah mpango gani sasa huo,kama vipi si ukapande friji !
Hii imeifunika main topic.ABIRIA: konda usiongeze watu gari limesha jaa
KONDA: sheria za nchi zipo kibao nawewe unaleta za kwako tena!
ABIRIA: Sitaki siti za nyuma kuna joto
KONDA: aaah mpango gani sasa huo,kama vipi si ukapande friji !
Ccta 1 alipanda kwenye tax uch(kama alvyozalwa)dereva akawa anamshangaa,ccta akamuulza mbona unanshangaa hujaw kuona uch,dereva akajb cshangai uch wako ila nawaza hela za kunlipa utakuwa umeweka wapi?