Makonda waambie watu kwanini hakuna umeme

Makonda waambie watu kwanini hakuna umeme

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Watu hawataki porojo, wamechoka wengi hata Serikali hawaihitaji ila wanataka tu itimize wajibu wake mengine yote tumeshajizoelea kujifanyia, wawashe umeme, hivyo jibu maswali magumu na siyo kurukia rukia hoja zisizowasaidia watanzagiza, waambie kwa nini hamna umeme wakati kabla ya uraisi wa samia umeme ulikuwepo?

Hivyo tuambie kwanini hamna umeme? mmeupeleka wapi umeme uliokuwepo?
 
Inaonekana aliowatembelea mpaka sasa hawana shida ya umeme au umeme sio kipaumbele kwao.
 
Back
Top Bottom