Makonda: Wanaume wafanyakazi wakatwe asilimia 40 ya mishahara yao wapewe wake zao

He must be idiot, na wanawake etunaofanya kazi tukatwe 40 percent wapewe Wayne zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anataka watu wakose hela za kuhonga IST au sio...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu jamaa mbona anaingia mpaka kwenye uvungu wa kitanda sasa, anataka kuongoza mpaka nyumbani kwangu?? labda yupo sahihi,
ila atasababisha watoto wa nje ya ndoa kuongezeka, ngono zembe kuongezeka, kuvunja ndoa za watu, na kuvunja mipango ya watu kuoa, mwambieni afikirie mara mbili kabla ya kufikiria alichofikiria na kukitenda.


Eboo!!!!!!!!!.
 
Ile ya watoto wa nje ya ndoa imeishia wapi?
 
Sasa ni dhahiri makonda ni effeminate na hajui maana halisi ya ndoa. Sijui kama amekunmbuka wanawake ambao waume zao ni wafanyabiashara na wakulima!! Hoja hovyo zaidi kuwahi kutolewa.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Kwani yeye ni mbunge?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimsingi mwanamke ameshamiliki pesa zote za mme wake, sasa hii 40% itatoka kwenye fungu lipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…