Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,710
- 2,587
Akili na Elimu ni vitu Viwili tofauti kabisa
Kwa maana havina uhusiano unaweza ukawa na Elimu ukakosa Akili,vivyo hivyo
Unanaweza ukawa na Akili lakini Elimu huna binafsi huwa siangalii Elimu mi naangalia AKILI mtu mwenye uwezo wa kutafakari mambo ya busara sio blaablaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo Bashite anatafakari mambo ya busara?????!!!!