Kipepeo cheusi
Member
- Mar 23, 2019
- 14
- 12
- Thread starter
- #21
Makonda makonda fanya uwalipeNimesema, majina yanahakikiwa huenda kuna wachezaji hewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makonda makonda fanya uwalipeNimesema, majina yanahakikiwa huenda kuna wachezaji hewa
Umejuaje kama hajawapaInasikitisha mpaka sasa bado hujawapa hiyo pesa wachezaji ambayo uliahidi kwa mbwembwe.
Fanya kuwapa ili kuinua morali yao kuelekea kwenye michuano ya afcon
Ni hilo tu kwa sasa
Na mbowe awalipe wachezaji hata kidogo ,maana yeye kutwa kujidai ni tajiri lakini hatumuoni kwenye harambee yoyote
Hili tatizo. Aliyemtegemea ayupo Tena, masikina Mzee wa watu kafa. Unamtegemea mtu akupe, ndio ukawapa wachezaji...Inasikitisha mpaka sasa bado hujawapa hiyo pesa wachezaji ambayo uliahidi kwa mbwembwe.
Fanya kuwapa ili kuinua morali yao kuelekea kwenye michuano ya afcon
Ni hilo tu kwa sasa
Mvumilivu hula mbivu bali msumbufu hula mbichi. MsimchokozeMakonda makonda fanya uwalipe
Muda unaenda awape ahadi ni deniMvumilivu hula mbivu bali msumbufu hula mbichi. Msimchokoze