Makonda wape Wachezajinwa Taifa Stars Milioni 10 zao ulizowaahidi

Inasikitisha mpaka sasa bado hujawapa hiyo pesa wachezaji ambayo uliahidi kwa mbwembwe.
Fanya kuwapa ili kuinua morali yao kuelekea kwenye michuano ya afcon
Ni hilo tu kwa sasa
Hili tatizo. Aliyemtegemea ayupo Tena, masikina Mzee wa watu kafa. Unamtegemea mtu akupe, ndio ukawapa wachezaji...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…