Makonda: Wasanii kulipwa Tsh. Bilioni 2 za Mirabaha Novemba

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametangaza kuwa jumla ya Tsh. Bilioni 2 ziko tayari kutolewa kama gawio la ada za hakimiliki (copyright levy) kupitia COSOTA kwa wasanii nchini.

Makonda ameeleza kuwa utaratibu wa maandalizi ya ugawaji wa fedha hizo unakamilishwa na wizara na malipo hayo yatafanyika mwezi Novemba, huku tarehe rasmi na kiongozi mkuu atakayekabidhi maingizo hayo kwa wasanii zikitangazwa hivi karibuni.

Your browser is not able to display this video.
 
Makonda usilisahahu jina langu kwenye hiyo orodha
 
M.L tu akuna namna.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…