Kunaanza kuchangamka sasa, Makonda asema wale wote waliofanikiwa kwa fedha za ushoga moto wa Mungu utawashukia.
Makonda asema inatia uchungu unamlea mtoto kwa tabu halafu anaenda kuwa shoga, jambo ambalo anamkubali sana Trump kuwa mstari wa mbele kushughulikia suala hili.
Asema wanaomkataa wengi ukiachunguza utakuta ana maslahi kwenye mambo ya ushoga.
Makonda ameyasema hayo katika kikao kazi cha maandalizi ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.