Makonda wengi hawakupendi ingawa una ushawishi na morali ya kufanikisha mambo

Hana chochote Bashite, ni zero brain na hawezi kutekeleza jambo lolote likafanikiwa.
Of course ni zero brain but anatembelea kwenye kiyoyozi[emoji3][emoji3][emoji3]kufanikiwa siyo mpaka uwe [emoji817] brain bana. Dege la burrrre kapanda na mapyramids kaona.
 
Hana chochote Bashite, ni zero brain na hawezi kutekeleza jambo lolote likafanikiwa.
Watu wenye brain hawawezi kukaa na kujadili wasio na brain, ukiona watu wanakujadili kila siku tena kwa shutma na hawana uwezo wa kubadisha lolote kwenye maisha yake ujue wana chuki na umbumbumbu ulio tukuka.
 
makonda hana ushawishi wowote ule,ni kwasababu a abebwa na mbeleko ya mkulu,hebu atemwe,utaona ushawishi alionao
 
Watu wenye brain hawawezi kukaa na kujadili wasio na brain, ukiona watu wanakujadili kila siku tena kwa shutma na hawana uwezo wa kubadisha lolote kwenye maisha yake ujue wana chuki na umbumbumbu ulio tukuka.
Tuna-accomodate watu wote kwa sababu tuna akili na tunajali demokrasia, zero brain huwa hawawezi kupambana na hoja. Huishia kuwamiminia watu risasi, kuwateka, kuwatesa na kuwaua, kisa wana mtazamo na hoja tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…