Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
200%100%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
200%100%
Of course ni zero brain but anatembelea kwenye kiyoyozi[emoji3][emoji3][emoji3]kufanikiwa siyo mpaka uwe [emoji817] brain bana. Dege la burrrre kapanda na mapyramids kaona.Hana chochote Bashite, ni zero brain na hawezi kutekeleza jambo lolote likafanikiwa.
Watu wenye brain hawawezi kukaa na kujadili wasio na brain, ukiona watu wanakujadili kila siku tena kwa shutma na hawana uwezo wa kubadisha lolote kwenye maisha yake ujue wana chuki na umbumbumbu ulio tukuka.Hana chochote Bashite, ni zero brain na hawezi kutekeleza jambo lolote likafanikiwa.
Makonda hahitaji upendo wako mkuu! Hata Yesu alichukiwa.
Then ukiona unapendwa na kila mtu jichunguze vizuri huenda kuna mahala unaharibu
Tuna-accomodate watu wote kwa sababu tuna akili na tunajali demokrasia, zero brain huwa hawawezi kupambana na hoja. Huishia kuwamiminia watu risasi, kuwateka, kuwatesa na kuwaua, kisa wana mtazamo na hoja tofauti.Watu wenye brain hawawezi kukaa na kujadili wasio na brain, ukiona watu wanakujadili kila siku tena kwa shutma na hawana uwezo wa kubadisha lolote kwenye maisha yake ujue wana chuki na umbumbumbu ulio tukuka.