Pre GE2025 Makonda: Wezi na Mafisadi Wana Umoja Sana

Pre GE2025 Makonda: Wezi na Mafisadi Wana Umoja Sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Waswahili wengi aidha hawajui kujibu tuhuma au ni ujinga tu, huwa siwaelewi wengi sana
Kila sekta ukienda ukitaka kuuliza hujibiwi kwa weledi bali utasikia "usinifundishe kazi"
Sasa angalia jamaa huyu shida iliyopo ni kuhusu yule mdada
Kwanini asijibu hoja iliyopo mezani kwanza
Ina maana yeye akiuliza mtu swali na yeye akaambiwa we mwizi nyamaza je ndio majibu hayo?

Ajibu kwa hekima ingawa hajui
 
Wewe mshamba Wacha uongo
 
Makonda shikilia hapohapo!
Ulichokisema ni kweli hata Rais wako hajakufikia nusu ya uwezo wako wa kuongoza.

Nchi inawapumbavu wengi udhalilishaji gani kwa mtu fisadi na mwizi. Wapumbavu hao wapuuzwe
 
Wewe mshamba Wacha uongo
Mjibie hoja basi kuhusu kumkashifu yule mdada
Mbona mwisho alimsikiliza vizuri tu kwa hoja zake
Hebu tuweke mapenzi pembeni mkuu na tuongelee ukweli
Je hastahili kuombwa radhi na je kosa lake ni nini huyo mdada mbona alianza vizuri tu au ni ile miwani
Naomba ujibu kwa staha tu maana sina nia mbaya bali ukweli tu
Kwenye mazuri tutasema na mabaya nitakemea
 
Paul Makonda smewajibu wale Wanaodai anawadhalilisha wanawake Kwa kudema hawezi kumvumilia Kiongozi mxembe.Kwmaba hata akiwa Mkuu wa Mkoa Kwa siku 1 inatosha.
View attachment 3000123

My Take
Unafuga kinyago harafu unakiogopa tena.

Taibia za kudhalilisha Watumishi wa Umma Kwa Kisingizio vya Ufisadi ,wizi na uzembe ikome mara Moja.Nakumbuka ilianzishwa na Mwendazake wakati majizi ni ma ccm na sio Watumishi wa Umma.

Mfano Makonda anaweza elezea vyanzo vya Mali zake jinsi alivyozipata?

View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1794719329902268927?t=ZaDJ69R6snlrm5b4zWctaA&s=19

Ukitaka atakuelezea mtafute kwa wakati wako!
 
Ni utetezi usiojisimamia wenyewe. Alimdhalilisha huyo mtumishi. Aseme mambo mengine labda, lakini yanayosikika kwenye hicho kipande cha clip siyo sehemu ya kutenda haki anayodai anatenda. Ni ubabe au kutumia madaraka vibaya. Na kutenda haki hakuna ubabe wala kutumia madaraka vibaya.
 
Paul Makonda smewajibu wale Wanaodai anawadhalilisha wanawake Kwa kudema hawezi kumvumilia Kiongozi mxembe.Kwmaba hata akiwa Mkuu wa Mkoa Kwa siku 1 inatosha.👇👇

View: https://twitter.com/HabarimpyaTv/status/1794713955220574468?t=JWFH5UAZ_BE1FMKrFtISMw&s=19
View attachment 3000123

My Take
Unafuga kinyago harafu unakiogopa tena.

Taibia za kudhalilisha Watumishi wa Umma Kwa Kisingizio vya Ufisadi ,wizi na uzembe ikome mara Moja.Nakumbuka ilianzishwa na Mwendazake wakati majizi ni ma ccm na sio Watumishi wa Umma.

Mfano Makonda anaweza elezea vyanzo vya Mali zake jinsi alivyozipata?

View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1794719329902268927?t=ZaDJ69R6snlrm5b4zWctaA&s=19

View: https://twitter.com/Sisimizi3/status/1794768442685260115?t=w3Y8_cU8nrDiytpeaUWnBQ&s=19
 
1Makonda utadanganya wenzio ishu sio ufisadi ishu ni wewe kuwa mdhalilishaji, halafu hujifunzi tangia uanze kudhalilisha umepata nini???? kutafuta tu cheap popularity.
Dada Anita ni kweli Makonda kamdhalilisha dada wa watu ni Kweli! Lakini Wengi tunaona hiyo siyo mada ya kushikiwa Bango kiasi hicho!

Nenda Mahospitalini ukajionee watu, mamia kwa maelfu wanavyoteseka kwa huduma mbovu na ukosefu wa vifaa tiba huku Viongozi wanatesa na Mashangingi na kupishana viwanja vya ndege kwenda shopping Dubai, Uturuki, Korea na kwengineko.

Kuna Mama mmoja mjamzito alifariki wilaya Maswa Baada ya Muuguzi kumwambia ili amhudumie lazima alete glove na vifaa vingine vya kujifunvulia (KINYUME NA SERA YA AFYA YA TANZANIA) na mama wa watu akafaliki kwa kukosa Huduma. Taarifa iliishia Kusomwa kwenye vyombo vya habar, Hutukusikia TAMKO la CWT wa Haki za Binadamu.

Ukweli ni kwamba Taifa letu lina matatizo chungu nzima na Viongoz Hawajali Kabisa. Mamia ya miradi ya serikali inajengwe chini ya viwango pesa zinapigwa mamilioni ya watanzania wanaendelea kukamliwa Kodi zinazoishia mifukoni mwa watumishi wachache na machawa wao wala hakuna anyejali.

Leo Makonda anageuka mada. Hii si sawa hata kidogo ni ULAGHAI MKUBWA KWETU WATANZANIA!
 
Lakini ni kweli gloves Huwa hazipo , unadhani vifaa vinavyotolewa na Serikali vinakuwepo mda wote?
 
Sahihi kabisa! Waovu siku zote wana umoja sana
 
Dunia inao wachache mno wenye haki, na watenda maovu hujivuna kwa uovu wao, huutetea uovu wao, wako tayati kumwaga damu nyingine kutetea ujangili wao

Na siku zote mtu muoga wa kusemwa kwa sababu anasimamia ukweli, hawezi kuwatetea watu hadharani, mtu huyo huchagua njia ya kuabudu uovu na hayuko tayari kuitetea haki, maana haki haipendwi na wengi, Haki ni adui mkubwa sana ya watu wengi waovu

Na ndiyo maana leo, tunaviongozi wengi wanaabudu uovu wa matendo ya watishao kwa uovu wao, hawana kauli yoyote mbele ya watishao kwa maovu

Kuna kiongozi mmoja alidiriki kusema, ukiwagusa mafisadi, unaua nchi, hiyo ni ibada kamili ya mtu muovu dhidi ya waovu wenzake

Siku zote dhambi kuu, hubebwa na mabwenyenye yaliyoshindikana kwa uovu, yamejaa dhuluma na hayana hofu dhidi maisha ya haki na watu wengine, yana ukwasi na yanatisha, hayo hayawezi kukemewa hata kwenye nyumba za Ibada, lakini ni kwa faida ya Nani?

Ni kwa faida ya njaa tu za viongozi, wakati wao wakiamini wanamtumikia huyo mwenye haki, naye huyo mwenye haki hawaju hao, amewajumlisha kwenye kundi la hao waovu

Ushetani kuugeuza uwe wema, ni gharama kubwa mno, ni nani awezaye kuvumilia matusi ya waovu? Nani awezaye kutengwa? Kunyanyapaliwa na watu mamia na maelufu ya waovu? Mtenda haki, huwa kama mtu akaaye nyikani, maana hutengwa na kupigwa vita na jamii kubwa ya waovu

Duniani, tunaishi kwa muda mufupi mno ukilinganisha na Dunia tuliyotokea kabla ya kuja Duniani na baada ya kutoka tena tena Duniani

Chukia uovu kwa nguvu zote ili uwe mingoni mwa wale wanao na matumiani ya amani kutumika bila dhuluma huku wakijua, kufanya hivyo, ni kuwa upande wa wale wachache mno walio na tunda la Mungu ndani yao

Makonda, endele hivyo hivyo, hata kama heshima yako itakuwa ziro kabisa duniani, ila kwa kuwa unajipambanua kwa kuchukia dhuluma, Mungu anathawabu yako
Mkuu mtangulizeni kwenye mteremko na baisikeli isiyo na breki! Ohooo!
 
Ni Kiongozi Kwa mbumbumbu na maskini kama nyie ila mbele ya wasomi na wenye uchumi huyo ni popoma mmja tuu.

Bi Ushungi hashindani na wajinga Wala hajawahi jaa upepo.
Wewe unaelimu gani mkuuu??? Mbona umepanic??? Kwenye kadamnasi kama hii wala usije ukajisifia elimu yako watu walioko hapa wakitaja elimu zao unaweza ukajiona hufai na elimu yako ya kuunga unga😂😂😂😂. Bisha kwa hoja na si kutanguliza elimu kama siraha ya kujihami. Kimasters ndiyo unatembea kifua mbele😅😅😅😅
 
Narudia tena,yule ni Kiongozi wa mbumbumbu,wasomi wote hawawezi kuwa wafuasi wa Makonda,ana poor reasoning ila ana high emotions 😁😁
 
Back
Top Bottom