ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #61
Wewe unaona wanaomfuata ni wasomi na wenye pesa?Arusha yote ni mbumbumbu😂😂😂 ukiwepo na wewe maana uko Arusha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaona wanaomfuata ni wasomi na wenye pesa?Arusha yote ni mbumbumbu😂😂😂 ukiwepo na wewe maana uko Arusha.
UWT wenzako nao wamemkataa mazimaMajizi ya chadema yamepoteana kabisa.Makonda anayatisha sana.
Utajulia wapi wewe dada angu hizi mambo zinahitaji akili kubwaThibitisha, ameua tembo, twiga au ngiri?
Chadema mmepoteza muelekeo,Nyumbu nyie ndio maana msigwa kawabatiza jina la NyumbuUWT wenzako nao wamemkataa mazima
Ni uongo Mwenyekiti wenu hajamkataa?Chadema mmepoteza muelekeo,Nyumbu nyie ndio maana msigwa kawabatiza jina la Nyumbu
Kwani huwezi kuwa na pesa na ukawa mbumbumbu.Wewe unaona wanaomfuata ni wasomi na wenye pesa?
Usomi wako unakusaidia nini kama huna pesa?Kwani huwezi kuwa na pesa na ukawa mbumbumbu.
Ukiwa mkubwa utayajuwa haya subiri ukue kwanza.Usomi wako unakusaidia nini kama huna pesa?