Makonda yupo wapi?

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Alionekana akipanda malori ya mchanga, bajaj, baiskeli, punda na hata ngamia huko kanda ya ziwa. Alichoacha kupanda ni fisi tu, je Makonda yupo wapi?

Jana Kikwete kasisitiza umuhimu wa serikali kuchukua ushauri katika maswala mbalimbali, nafikiri Kikwete alishaona mbinu za kisiasa za awamu hii zinatupeleka siko.

Hii mbinu Makonda kama ilivyo mbinu Biteko ni mbinu za kikabila na zilaaniwe! Kwanini CCM hamwezi kujiamini na kutafuta ushindi bila mbinu chafu?
 

Tumekuelewa ndugu "Makobas" 🤒🤒
 
Nyie wachagga acheni hizo,mlipoamini kuwa CDM itachukua nchi kwa kuendesha siasa za kikabila na kikanda mlikuwa hamjui mdhara yake ?
 
Yule analea mtoto wa Kachina Dar. Jamaa huwa anafurahisha sana. Ana mbwembwe kweli, wenzie wanamdere tu.
 
Nyie wachagga acheni hizo,mlipoamini kuwa CDM itachukua nchi kwa kuendesha siasa za kikabila na kikanda mlikuwa hamjui mdhara yake ?
Unaweza kutaja hata kiashiria kimoja tu cha ukabila ndani ya CDM?
 
Mbinu safi ni zipi?
 
Jana
Makonda kweli mikosi!
 
Kagasheki kammaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msukuma asimpande fisi?
Umezingua sana yaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…