donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
- Thread starter
- #41
Daahhh,Makongo ilikua kama depo bandugu!!!!kuna siku nlichelewa nkakuta late Miraji getini......ahhh ilikua sooo,mara akaibuka mc babu Ayubu(msanii) nae kumbe kachelewa asa ile late Miraji kumwona tu akamwambiawee'nanhiiii,leo napiga viboko viwili tuuu.........ila kwasababu wewe(Ayubu) ni maarufu nitakupa BONUS ya viwili!!kwahiyo vitakua vinneee!........jamaa akala kunjo wiki bee!!!!
Hahahaha mkuu umeniua.